Kwenye utendaji wa serikali kila waziri au wizara iwe na mipaka ili kuleta uwajibikaji wenye tija.Ndiyo dunia ilivyo, mmoja anaona usiku mwingine anaona mchana. Hata wewe hapo ulipo wengine wanakuona A wengine B. Kikubwa wanufaika waseme wenyewe. Tuendelee kushirikiana, hakuna wa asilimia mia duniani.
Mimi sitafuti pa kukaba bali natenda majukumu yangu ya siku zote. Usiwe unafananisha mambo, huwa yana utofauti.
Kachukue fomu ugombee uwe mwakilishi wa wananchi ili haya mawazo yako yakajadiliwe meza ya wawakilishi. Hapo utaongeza thamani ya mawazo. Ila kwa sasa tunatekeleza kilichopo. 🤗bado dakika chache kwa heriNikisema Mnyororo wa thamani
Mfano waziri Mmoja anakuwa na
-Dereva
-PA
-PS
-Mlinzi
-N.k
Sasa ikiwa mtaelewa Mnyororo wa thamani .
Mnawekeza katika kilimo vizuri kupitia mnyororo wa thamani hatutakuwa na hao wachuuzi , bodaboda , mama ntilie .
Ni Aibu kubwa kuona zama hizi bado tunawahita watu wajasiriamali wadogo while in fact most of them they are wasting their time with zero returning.
Tuwe serious na tujaribu kuvaa viatu vyao .
Sipingani na maendeleo ila sidhani kama walengwa wana access na zoom labda wawili watatu wale wanaoitwa shamba darasa.Ungekuwa kiongozi na wewe ungeingia uone. Maana hii siyo ya kwanza wala ya pili. Tupo nao, ila wewe ndiyo siku ya kwanza kusikia. Tanzania imeendelea na bado, wiki ijayo tunaongea kidigitali na majukwaa ya wanawake kata kwa kata. Na nitakuwa napakia hapa sasa ili uamini.
Uñabook nafasi mapema!Mama Vicky, ktk ubora wakoo. Nakukubali sana..
Ila kaa mkao wa kula, nina jambo langu, liko ndani ya wizara yako, na suluhisho ni wee.
Ntakurudia tyuuh.
umeanza na pont nzuri lakini chini umeharibuOkay Asante kwa ufafanuzi mzuri
Ila Kama Serikali mmekosa ubunifu wa kutengeneza Ajira mpaka mnakuwa na mipango duni Kama hii ya kuwa na Bodaboda , wachuuzi n.k
Jaribu kuwekeza katika kilimo na mtengeneze Mnyororo wa thamani ili watu wajiondoe katika hizo ajira ambazo zina low returning na high risk .
Mfano hao bodaboda wanakufa kila siku na kupata Ulemavu so do you think is right .?
Jaribuni kuwa creative mtengeneze ajira zinazoeleweka .
Je wewe utakubali mtoto wako awe bodaboda , mchuuzi n.k
That's constructive criticism nothing personalMimi pia naona maoni yako nayo yamekosa ubunifu vs uhalisia wa curve ya maendeleo.
OK kila la kheri, katika utekelezaji wa majukumu yako.Ndiyo dunia ilivyo, mmoja anaona usiku mwingine anaona mchana. Hata wewe hapo ulipo wengine wanakuona A wengine B. Kikubwa wanufaika waseme wenyewe. Tuendelee kushirikiana, hakuna wa asilimia mia duniani.
Mimi sitafuti pa kukaba bali natenda majukumu yangu ya siku zote. Usiwe unafananisha mambo, huwa yana utofauti.
umeanza na pont nzuri lakini chini umeharibu
kufa kila siku au mtoto wako kuendesha BODABODA ni maoni ya inaonesha ya mtu mwenye majivuno kutokana na nafasi ya kiuchumi uliopo
nadhani ungemshauri au kumuuliza namna ya kuweka mazingira rafiki kiuchumi na salama juu ya BODABODA
nadhani haufahamu ila mimi ninakufahamisha
kutokana na mazingira niiliyokuwanayo
kwanza BODABODA imesaidia vijana wengi kupata ajira naweza sema hata karibu 30% na kupata njia ya kupata mitaji ya kibiashara
lakini pia kwa serikali imesaidia kwa kiasi kikubwa katika mapato
lakini faida nyingine ni kupunguza vijana kuzurura hovyo mitaani na kuwa wezi vibakai ndio mana leo hii kuna mitaa ya dar es salaam ulikuwa huwezi kupita bila kukabwa au kukwapuliwa simu lkn now kumestaharabika
lakini faida nyingine ni kurahisisha huduma usafiri na kufanya si huduma za kukufikisha sehemu husika kuwa rahisi lkn pia hata shughuri za kiuchumi kuwa nafuu hata kwa wasioendesha bodaboda
sasa unaposema BODABODA sio kazi wakati inachangia pakubwa katika sekta ya ajira na pato la nchi kwa ujumla ninakushangaa sana
kinachotakiwa tutengeneze mazingira manzuri kwa bodaboda ambapo ni km hivi sasa katika kundi la bodaboda 10 basi lazima kuwe mmoja au wawili ni bodaboda zao wenyewe
na serikali izidi kuandaa MAKONGOMANO na kuanzisha warsha vipeperushi juu ya usalama na kuendesha kwa kuzingatia sheria na uweredi
na hili si serikali pekee ni letu wote 7bu sidhani kam hakuna mtu mwenye ndugu amabae ni bodoboda au hajapitia huko
na kwasasa ajari za bodaboda zimepungua kwa kiasi kikubwa na kadri tunavyoendelea zitapungua kabisa na kubaki kawaida ikiwa watu kama nyinyi na madereva wengine watakapoeshimu BODABODA barabarani mana kwa sasa takwimu za ajari nyingi zinazohusisha BODABIDA
basi ni BODABODA kugongwa au kupushiwa upande
dah we jamaaKwa sasa tulipofika Kama Serikali mnabidi kuachana na Mambo ya yanaitwa Bodaboda , wachuuzi na biashara ndogogo.
Sifikirii Kama MTU anafanya Uchuuzi, bodaboda anaweza akafanikiwa zaidi either ataishia kuwa masikini in his lifetime au kupata ulemavu na kifo cha mapema.
Kwanza mlifanya kosa kubwa kuruhusu Usafiri wa bodaboda kwakuwa mnawafaidisha hao wachina na wahindi kuleta Pikipiki zao Tanzania .
Serikali ifikirie kuleta uwekezaji katika mnyororo wa thamani kupitia kilimo na teknolojia .
Mkisema maendeleo ni hatua je lini mliwahi kupiga hatua za kuwagusa wananchi directly.
Inatakiwa wakati wote isiwe inapo karibia uchaguzi mkuu, (the entrepreneur and their environments)Unajitahidi kuwa karibu na unaowaongoza! Big up!!
100%Kundi la watu kama bodaboda ndiyo mtaji wa wanasiasa, katika nyakati kama hizi wanawapa pikipiki za mikopo Ili wapige PA kwenye kampeni zao. Ni kundi la vijana wasio na ajira na linaachwa liwepo kimkakati fulani
HAhahaKachukue fomu ugombee uwe mwakilishi wa wananchi ili haya mawazo yako yakajadiliwe meza ya wawakilishi. Hapo utaongeza thamani ya mawazo. Ila kwa sasa tunatekeleza kilichopo. 🤗bado dakika chache kwa heri
Huyu yupo wakati wote Tu,tena siku za nyuma ndo alikuwa active zaidi!Inatakiwa wakati wote isiwe inapo karibia uchaguzi mkuu, (the entrepreneur and their environments)
Yajayo yanafurahisha
wewe ndio hauko serious mimi naongelea maendeleo direct ya mtu mmoja mmoja wewe unaniambia serikaliNyie endeleeni kufanya siasa Ila bodaboda sio ajira wala sio Kazi .
Faida ulizozitaja za bodaboda sifikirii Kama zinalingana na hasara zake.
Hatuwezi kuwa na Taifa la watu mnajivunia kuzalisha ajira za waendesha bodaboda , wachuuzi n.k that is poor mentality.
Umeangalia Takwkmu za ajali za bodaboda na ambao wamekufanya na kupata ulemavu wa kudumu.
Ukisema Serikali inapata mapato
Mnashindwa kukusanya kodi katika utalii, Katika madini , Bandari n.k mnasubiri bodaboda.
Kuweni serious mkuu .
Okay Asante kwa ufafanuzi mzuri
Ila Kama Serikali mmekosa ubunifu wa kutengeneza Ajira mpaka mnakuwa na mipango duni Kama hii ya kuwa na Bodaboda , wachuuzi n.k
Jaribu kuwekeza katika kilimo na mtengeneze Mnyororo wa thamani ili watu wajiondoe katika hizo ajira ambazo zina low returning na high risk .
Mfano hao bodaboda wanakufa kila siku na kupata Ulemavu so do you think is right .?
Jaribuni kuwa creative mtengeneze ajira zinazoeleweka .
Je wewe utakubali mtoto wako awe bodaboda , mchuuzi n.k