Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni

View attachment 2974660
Kwa nini waliharakisha kuwakamata kabla ya kukamilisha upelelezi kwanza?
Kwa nini hawataki kuwapa dhamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…