M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Apr 26, 2024 #61 Elli said: Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa" Click to expand... Pia polisi wengi ni failures waliingia huko baada ya option zote za kusurvive kugoma. Hivyo ni rahisi pia kuwaongoza maana wanajua bila kutii amri hawana kazi na hawawezi kusurvive nje ya hapo.
Elli said: Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa" Click to expand... Pia polisi wengi ni failures waliingia huko baada ya option zote za kusurvive kugoma. Hivyo ni rahisi pia kuwaongoza maana wanajua bila kutii amri hawana kazi na hawawezi kusurvive nje ya hapo.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 26, 2024 Thread starter #62 Makupa said: Malisa naamini ataacha kuandika makala za kutukana viongozi ,hivi hata wazazi wake anawatukana hivyo? Click to expand... Ukweli ndio matusi?
Makupa said: Malisa naamini ataacha kuandika makala za kutukana viongozi ,hivi hata wazazi wake anawatukana hivyo? Click to expand... Ukweli ndio matusi?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 26, 2024 #63 Muda utaongea... Cc: Mahondaw
M Mzee wa Twitter JF-Expert Member Joined Nov 5, 2023 Posts 1,483 Reaction score 2,392 Apr 26, 2024 #64 THE BEEKEEPER said: Acha umbea ndugu mwandishi Click to expand... Mbea ni wewe