Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

Kama kuna watu waliharibiwa akili na dini za kiarabu na kizungu basi ni wafirika ,hasa watanzania ndio kabisa machizi.
 
Ulongo mtupu,nani alimwona huyo malaika?,ukweli ni kuwa binti wa kiisrael alimwekea sumu mtume na ndio maana mpaka anakufa aliwalaani waisrael mwanzo mwisho.
 
We jamaa pamoja na kwamba tupo kwenye dunia ya kijidigital lakini wewe bado upo zama za mawe za kale,, kwa hiyo huyo mkewe akiwa myahudi ndo ibarikiwe Israel 😃,, kwamba bado una zile mentality myahudi mtu bora na sio wanyakyusa wenzio wa mwakaleli 😄,, vijana kama nyie hamna mchango wowote kwenye taifa😃😃
 
Ulongo mtupu,nani alimwona huyo malaika?,ukweli ni kuwa binti wa kiisrael alimwekea sumu mtume na ndio maana mpaka anakufa aliwalaani waisrael mwanzo mwisho.
Hizo ni fixed za kanisani tu, Mtume hakuwa na chuki na taifa lolote sababu Qur'an ilisema wazi kabisa, hutukukupeleka duniani ila uwe Rehema ya kila kitu, vipi awachukie wayahudi.

God Almighty says, “And We have not sent you but as a mercy to the worlds.” (Al-Anbiyaa' 21:107)
 
Hakuna mauaji ya kimbari. Ni vita dhidi ya ugaidi wa hamas na Hezbollah
 
Sahihi kabisa. Ebu tupe elimu kidogo kabla ya Uingereza kusaidia kulitengeneza taifa la Israel taifa hilo lilikuwa wapi? Na kwanini Uganda ilihusishwa?
 
Hakuna fix kanisani hata kidogo. Ni fix gani hizo unazozijua?
 
Kwa hiyo we myahudi pori unafurahia dada ako napakuliwa na waziri mkuu wa Uingereza
 
Tena hao baadhi ambao ni wajinga ni 99.9%
Wakristo wachache sana ndio sio wajinga hata kama watakataa
 
Na hilo ndilo lengo la wayahudi, kuhakikisha kila kona ya dunia wana wawakilishi wao ili kutimiza lengo lao la world domination kabla ya mesiah wao kuwasili.

NOTE: Mesiah wao sio Jesus, yupo mwingine na atakuja pale ambapo ujenzi wa temple utakapo kamilika.
 
ni kwamba, waziri pamoja na mkewe wote ni wayahudi pure,na wanasali kwenye masinagogi ya wayahudi kila jumamosi.
 
Kanisani kila Jumapili mnaenda kutongozana tu, ukristo hauna salaa toa bibilia zenu wapi inawambia mkasali kanisani jumapili hahaha, sa muwache kuimba nyimbo za kumzulia Mtume Muhammad uwongo
Umepotea. Hudhuria siku moja usikilize mwenyewe usipende kuambiwa.
Utaelimika kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…