Hapana Sina nia ya kuhamisha mjadala ila nilikuwa naweka sawa suala la kusema anakuja Dsm eti kumfuata mumewe hilo napinga kabisa,kwa age yake mama Samia atakuwa alishaacha muda kusex na mumewe ninajua hivyo sababu hata mm ni aged nafahamuMwisho ni miaka mingapi mke na mume kulala room moja? Mkuu unataka kuhamisha mjadala wa ufujaji wa pesa za umma nini?
Magufuli alikua akipiga Dar to Dom anaanza kwa gari. Lengo ni kukutana na wananchi na kutatua kero zao na kuwasikiliza. Huyu ni juu kwa juu. Na nivile tu kuna corona,huyu angepiga misele kuliko JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajenga Uchumi Sasa HiviSamia Da Gama
kuliko mwendazake? kila jioni akalale kwa hawara tena Mke wa mtu, tena ampe na uwaziri, tena na ukuu wa wilayaHuyu mama ni hasara tupu
Anapaswa kukaa Dodoma kupunguza gharama.Ndicho anachoweza!
Wanatumia zile za miamala si unajua bado mpya mpya..... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Gonga Like Kwa Hii Comment Fupi Halafu Chachu Kama Ukwaju Yaani Mate Yanajaa😂😁🤣😃😄😄😀kuliko mwendazake? kila jioni akalale kwa hawara tena Mke wa mtu, tena ampe na uwaziri, tena na ukuu wa wilaya
Mwacheni Mama anatukonga nyoyo zetu sasa TZ amani shega
tunaweza post chochote
Uchumi wa familia yakeAnajenga Uchumi Sasa Hivi
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]ibaudhi mnoooWanatumia zile za miamala si unajua bado mpya mpya..
... ha ha ha! Walituambia za kujengea vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo, na kuboresha barabara za vijijini.Wanatumia zile za miamala si unajua bado mpya mpya..
Ndiyo Ukweli WenyeweUchumi wa familia yake
Kwenye Uhuru wa kupost nakuunga mkono mkuukuliko mwendazake? kila jioni akalale kwa hawara tena Mke wa mtu, tena ampe na uwaziri, tena na ukuu wa wilaya
Mwacheni Mama anatukonga nyoyo zetu sasa TZ amani shega
tunaweza post chochote
Kero gani katatua zaidi ya kuziongeza au kule kuwadharirisha wale kina mama pale Dumila kwamba eti waseme vizuri wanataka wapanuliwe wapi,ndio kero unayeizungumzia kuitatua?Magufuli alikua akipiga Dar to Dom anaanza kwa gari. Lengo ni kukutana na wananchi na kutatua kero zao na kuwasikiliza. Huyu ni juu kwa juu. Na nivile tu kuna corona,huyu angepiga misele kuliko JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]Mama ANAPANUA WIGO wa uchumi.
Kama yule wa chato tuBaada ya kuwasema jana leo wamerudi dodoma...Yaani unafanyia kazi za kiserikali Ikulu Dar karibia mwezi
Nan kaleta hasara?Gharama za kujitakia hizi. Kuendesha ikulu mbili ni hasara kubwa. Sasa mume akimuhitaji anarudi tena dasalamu?