Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
sawa apange safari ye kutembelea nchi yote sasa.Nchi hii hasa mikoa ya pembezoni ina matatatizo mengi sana.Akipita raisi hutoa msukumo wa kuyatatua kwa haraka.
 
Be fair.Dar=Dom.Hakuna shida.Tujue pia Ikulu Chamwino bado inajenga ambako huwezi peleka wageni.Tuwe na SUBIRA.
 
Hii ndege itakoma
Jamaa wa viwanja vya ndege wanagugumia kimya kimya kwa sababu mama anapo tumia hiyo ndege anasababisha hasara maana abiria walio kuwa wasafiri kwa hiyo ndege wanabidi kukodiwa hoteli au kukodiwa ndege nyingine wanashangaa kwanini mama kangangania ilo dege kubwa wakati ipo ndege yake ya raisi ,au walikuwa wametega sumu kummaliza magu polepole kwenye ile ndege hivyo anashindwa kuitumia
 
Waulize kuwa ni nzima? Hiyo ya rais
 
Wastage of money, time and energy. Sasa mumewe yuko wapi? Je akimuhitaji si inabidi ageuze tena kurudi. Kayafa katuachia matatizo makubwa
Arudi na ndege kumfuata Mzee kwa ajili ya....tu. acheni utani walahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui hata mme wake wanakutana saa ngapi?
Hayo mambo ni ya usiri sana hatupaswi kuyajua,watanzania inabidi tuheshimiane sana ukiondoa cheo chake yule ni Mama,ama bibi so tuheshimu miiko mila na tamaduni zetu,mfano mdogo wewe hapo unaambiwa ivyo na rafiki yako utajisikiaje,tuheshimiane hii Jamii forum watu wanaelimika na kuburudika so ukifanya ivyo utafanya wenye mamlaka Tcra kuifungia
 
Kumbe hoja yako ni ukabila! Kama vipi kufa na wewe mkutane kaburini.
 
Ngoja tusubiri Report ya CAG itakuwaje kuhusu hasara iliyotengenezwa na ATCL mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…