Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

... kwanini wasiagie Dodoma makao makuu ya nchi ilipokuwa ofisi rasmi ya marehemu? Waache kujenga mazingira ya kutapanya jasho la wananchi bila sababu za msingi!
Kama walienda Dar kwa gharama zao nayo hutaki???
 
Bado Zenji Sasa maana Mzee sijui ndipo alipo !!!
 
Kama walienda Dar kwa gharama zao nayo hutaki???
... wasaidizi nao wajilipie? Madereva nao hivyo hivyo? Ili boss akaage na kuhudhuria kikao? Hata kwa mwehu haiwezi kuingia akilini.
 
Mpaka siku mkubali kuwa CCM karibu wote hawatufai ndio tutaona mabadiliko ya maana katika hii nchi.
 
Hivi presidential Jet iliyonunuliwa kwa matumizi ya rais nani anaitumia? Watanzania waliambiwa wale nyasi kwa ndege ile lakini naona sasa ndege za ATC ndio zinambeba Rais kila uchwao faida itapatikana vipi?

SSH aliahidi Watanzania wasubiri kidogo kuhusu tozo za simu mbona yupo kimya? Ataifuta lini? Vipi pesa za road fund zinafanya kazi gani?
 
Awe anatembea na mumewe ingesaidia sana
 
Mbona tena kajitundika mubalakoa? Si tulionyeshwa kachanjwa?
 
Cheo cha urais kimemzidi mbali sana. She doesn't fit.
 
Kula posho tu!
 
Anatumia Airbus. Ile ndege ya rais Gulfstream siku hizi haitumiki?!
Hizi ndege zilikuwa na safari zake, Fokker 30, Fokker 50, Piper Navajo, G55.

G55 ilikuwa mahsusi kwa safari za raisi nje ya Africa.

Fokker 30 nje ya TZ ila ndani ya EA na Fokker 50 ni nje ya EA ila ndani ya Africa.

Ziko wapi? Nakumbuka ile miaka ya Ben, Yanga na Simba wamezikodi sana hizo Fokker, Mkwere akasema hataki ndege zake kukodishwa!

Mwamba akawa anatumia zaidia barabara, hapo ndo hizo ndege zikakosa umuhimu, akawapa ATCL ili kufufua shirika.
 
Hakuna mtu aliyeiharibu nchi hii kama Magufuli, hata hayo unayoona kama amefanya ni kwa sababu aliikuta nchi kwa namna fulani ina akiba ya fedha, yeye akafuja, akakopa kwa fujo na kuifilisi nchi kwa mamiradi yasiyo na tija.
Huyu anaonekana kama hafai kwa sababu ameikuta nchi imechakazwa na kuharibiwa kabisa, ni kama anaanza na moja.
 
Vi eitii za polepole nazo usifikiri zimelala zinapiga route safari nzima msafara ,mama huyooo mamaa kashafika kibaigwa hapo alafu mbio Wanawai Area c Airport kumpokea mama.
Hapo watani zangu wagogo viuno hoi😁😂😂tutamtuma Le mutuz awaombee poo
 
Bado kidogo, tutakuwa wamoja! Ni aibu kwasasa kukiri na ni hulka yetu kushikilia ego, mikono ikilegea tutaiachia idondoke na kuanza kung'ata ng'ata vidole kwa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…