Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
CCM ndiyo watapelekwa ICC The Hague usiwapangie watu huru pa kukaa kwani wapo kwao acha ufala wewe shetani
 
CCM inabaka Uchaguzi Zanzibar hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaipenda CCM tena
 
Alaani vipi wakati yeye ndo anawachochea! Asame tu yeye Maalim ndo anachotaka hicho na amefurahi. Mnafiki sana huyo mzee. Wapemba nao sijui hata wanatafutaga nini
 
Wametuengua Wanaiba kura zetu na sasa wanatuuwa hatukubali JINO kwa JINO
 
Makundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?
 
Bado unavuta Bangi ? Acha ufala wako usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe
 
Sasa wananchi wanazuia Polisi kupitisha maboksi ya kura we unategemea wafanywaje?
 
Kura za Awali ni Wizi mtupu Shusha Tanga pandisha Tanga safari iendelee
 
Makundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?
Hapo ndipo kuna uchakachuaji wizi mkubwa na jwtz Nusu ya vikosi wapo Zanzibar iweje jeshi lote lihamishiwe Zanzibar kuna ajenda gani? Haya ni matumizi mabaya ya jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…