minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mwinyi tayari ni mshitakiwa ICC The Hague mara baada ya uchaguzi ataanza kuhudhuria kwenye kesi zakeHivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi tayari ni mshitakiwa ICC The Hague mara baada ya uchaguzi ataanza kuhudhuria kwenye kesi zakeHivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
Ina maana mwinyi ameshaanza kutoa amri?Hivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
CCM ndiyo watapelekwa ICC The Hague usiwapangie watu huru pa kukaa kwani wapo kwao acha ufala wewe shetaniKama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
CCM inabaka Uchaguzi Zanzibar hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaipenda CCM tenaKwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mwinyi kawa Sumu mapema hata kabla hajaapishwaIna maana mwinyi ameshaanza kutoa amri?
Ni utawala haramu wa kishamba na kishetaniUtawala wa damu.
Makundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?Seif ni mnafiki sana, hivi inakuwaje unawa brain wash wapiga kura wako kiasi hicho? Let them abide by the law na taratibu zilizowekwa na tume. Walishaambiwa 27 kuna makundi maalumu yatapiga kura then yeye anawapandikiza chuki, nadhani sheria ichukue mkondo wake Seif ashitakiwe
Bado unavuta Bangi ? Acha ufala wako usifikiri watanzania ni wajinga kama weweKwani hii ni mara ya kwanza kwa vifaa kusafirisha usiku? Ikiwa vituo vinafufuliwa saa 1 asubuhi, unataka vitu yafikiswe muda gani? Kuna sehemu vifaa vimesafirishi wiki nzima nyuma. Na kabla ya uchaguzi haujaanza, masanduku hayakaguliwi mbele wasimamizi na wahusika?. Ndio maana nasema hii yote ni kutaka kuleta taharuki isiyo na tija.
sHongera kwao wamekufa kishujaa
Ndiyo agenda yao kuu CCM Kwao uhai hauna maana muhimu kwao ni Madaraka.Hivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
Hapo ndipo kuna uchakachuaji wizi mkubwa na jwtz Nusu ya vikosi wapo Zanzibar iweje jeshi lote lihamishiwe Zanzibar kuna ajenda gani? Haya ni matumizi mabaya ya jeshiMakundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?
Ushamba na ushetani wa CCM unaenda kuleta Sumu ZanzibarKura za Awali ni Wizi mtupu
Wewe mbona uko nyumbani kwako na ushahidi HAUNA, unalazimishwa watu waamini uwongo?
CCM ni mashetani hawana hurumaMadaraka hatari,Ccm wako tayari kumwaga damu