Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
CCM ndiyo watapelekwa ICC The Hague usiwapangie watu huru pa kukaa kwani wapo kwao acha ufala wewe shetani
 
Kwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
CCM inabaka Uchaguzi Zanzibar hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaipenda CCM tena
 
Alaani vipi wakati yeye ndo anawachochea! Asame tu yeye Maalim ndo anachotaka hicho na amefurahi. Mnafiki sana huyo mzee. Wapemba nao sijui hata wanatafutaga nini
 
Wametuengua Wanaiba kura zetu na sasa wanatuuwa hatukubali JINO kwa JINO
 
Seif ni mnafiki sana, hivi inakuwaje unawa brain wash wapiga kura wako kiasi hicho? Let them abide by the law na taratibu zilizowekwa na tume. Walishaambiwa 27 kuna makundi maalumu yatapiga kura then yeye anawapandikiza chuki, nadhani sheria ichukue mkondo wake Seif ashitakiwe
Makundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?
 
Kwani hii ni mara ya kwanza kwa vifaa kusafirisha usiku? Ikiwa vituo vinafufuliwa saa 1 asubuhi, unataka vitu yafikiswe muda gani? Kuna sehemu vifaa vimesafirishi wiki nzima nyuma. Na kabla ya uchaguzi haujaanza, masanduku hayakaguliwi mbele wasimamizi na wahusika?. Ndio maana nasema hii yote ni kutaka kuleta taharuki isiyo na tija.
Bado unavuta Bangi ? Acha ufala wako usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe
 
Sasa wananchi wanazuia Polisi kupitisha maboksi ya kura we unategemea wafanywaje?
 
Kura za Awali ni Wizi mtupu Shusha Tanga pandisha Tanga safari iendelee
 
Makundi maalum yanapiga kura siku mbili, kwa nini hayo makundi maalum bara hatuyaoni?
Hapo ndipo kuna uchakachuaji wizi mkubwa na jwtz Nusu ya vikosi wapo Zanzibar iweje jeshi lote lihamishiwe Zanzibar kuna ajenda gani? Haya ni matumizi mabaya ya jeshi
 
Back
Top Bottom