Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Hii ya kutoa usaha kwenye mbavu nimekumbusha jamaa yetu naye alipata ajali ila hospital hawakucheki hiyo kitu akaja kundulika ana wk moja wakasema hakuna namna mbavu zimeshaharibika dah
😕😕😕.. Mtu unapewa ukilewa mwilini na wataalam Afya... Mpaka unatamani wangekumalizia tu..........
 
Namtakie uponyaji wenye kheri mwana huyu.
 
Maskini Pole sana.
 
Alhamdulillah.
Mungu Azidi Kumsimamia hali yake izidi kuimarika
 

Mungu amponye ndugu yetu Ushimen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…