Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Hii ya kutoa usaha kwenye mbavu nimekumbusha jamaa yetu naye alipata ajali ila hospital hawakucheki hiyo kitu akaja kundulika ana wk moja wakasema hakuna namna mbavu zimeshaharibika dah
😕😕😕.. Mtu unapewa ukilewa mwilini na wataalam Afya... Mpaka unatamani wangekumalizia tu..........
 
Na hii ndio taarifa yake

Habari ya asubuhi wana familia.

Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.

Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).

Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.

Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.

Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.

Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.

Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.

NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Namtakie uponyaji wenye kheri mwana huyu.
 
Yaani kichwa ni hatari sana
Mimi pia nilipata ajali nikaumia kichwa
Kwa jinsi tulivyokuwa tunasubiri yale majibu yatoke waone ndani
Wazazi Moja haikai mbili haikai

Madaktari wakawa wanawatoa hofu kwamba uwezekano wa fuvu kupata hitilafu ni mdogo maana huyu bado ni mtoto mdogo,hapo nikiwa kwenye eary 10.
Kweli fuvu lilipona ila bichwa sasa hadi leo sipo sawa nikishika hiyo sehemu inasisimuka sana hata wakati wa kuoga.

Sasa avuta picha ambao walipata shida kwenye fuvu
All in all Mungu ni mwaminifu muda wote.
Maskini Pole sana.
 
Taarifa za hivi punde toka kwa mgonjwa mwenyewe
Baada ya zoezi la kukausha damu na usaha toka kwenye pafu lililoathirika vipimo vipya vinaonesha maendeleo mazuri na hakuna haja tena ya kufanya upasuaji..
Hii ni taarifa njema kwa mgonjwa mwenyewe.. Familia yake na sisi sote!
Taratibu za ruhusa zikikamilika mapema leo ataruhusiwa na atakuwepo Dsm kwa muda
Asabteni sana wote kwa upendo mkubwa mliouonesha kwake🙏🏾
Alhamdulillah.
Mungu Azidi Kumsimamia hali yake izidi kuimarika
 
Na hii ndio taarifa yake

Habari ya asubuhi wana familia.

Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.

Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).

Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.

Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.

Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.

Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.

Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.

NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema

Mungu amponye ndugu yetu Ushimen
 
Back
Top Bottom