Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Daaah MUNGU amfanyie wepesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tatizo Sana kwa elimu ya Tanzania 😕😕😕🫤.
Duh Pole sana. Mungu azidi kukuponya.
Basi hapo roho inakuuuma bila lile neno lenu pendwa.Dahh pole Sana classmate
😕😕😕.. Mtu unapewa ukilewa mwilini na wataalam Afya... Mpaka unatamani wangekumalizia tu..........Hii ya kutoa usaha kwenye mbavu nimekumbusha jamaa yetu naye alipata ajali ila hospital hawakucheki hiyo kitu akaja kundulika ana wk moja wakasema hakuna namna mbavu zimeshaharibika dah
Kwa sisi wa imani huwa tunaamini kwamba watoto wana ulinzi wa pekee kutoka kwa Malaika. Kuna kisa juzi hapa kimetokea kinachotukumbusha ulinzi wa malaika, mama mjamzito amegongwa na lori kitoto kikatoka tumboni kizima!!Kuna wakati huwa nawaza pengine watoto wana ulinzi na walinzi maalum
Namtakie uponyaji wenye kheri mwana huyu.Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Mtoto wa Sauli alitoka na minor injuries wakati baba alifarikiKwa sisi wa imani huwa unaamini kwamba watoto wana ulinzi wa pekee kutoka kwa Malaika. Kuna kisa juzi hapa kimetokea kinachotukumbusha ulinzi wa malaika, mama mjamzito amegongwa na lori kitoto kikatoka tumboni kizima!!
Maskini Pole sana.Yaani kichwa ni hatari sana
Mimi pia nilipata ajali nikaumia kichwa
Kwa jinsi tulivyokuwa tunasubiri yale majibu yatoke waone ndani
Wazazi Moja haikai mbili haikai
Madaktari wakawa wanawatoa hofu kwamba uwezekano wa fuvu kupata hitilafu ni mdogo maana huyu bado ni mtoto mdogo,hapo nikiwa kwenye eary 10.
Kweli fuvu lilipona ila bichwa sasa hadi leo sipo sawa nikishika hiyo sehemu inasisimuka sana hata wakati wa kuoga.
Sasa avuta picha ambao walipata shida kwenye fuvu
All in all Mungu ni mwaminifu muda wote.
Tunaambiwa hivyo. Kwenye ajali asilimia kubwa wtt wanapona. Tena utashangaa ajali ina vifo na majeruhi kibao ila utakuta mtt hajaumia hata kdg.Kuna wakati huwa nawaza pengine watoto wana ulinzi na walinzi maalum
Alhamdulillah.Taarifa za hivi punde toka kwa mgonjwa mwenyewe
Baada ya zoezi la kukausha damu na usaha toka kwenye pafu lililoathirika vipimo vipya vinaonesha maendeleo mazuri na hakuna haja tena ya kufanya upasuaji..
Hii ni taarifa njema kwa mgonjwa mwenyewe.. Familia yake na sisi sote!
Taratibu za ruhusa zikikamilika mapema leo ataruhusiwa na atakuwepo Dsm kwa muda
Asabteni sana wote kwa upendo mkubwa mliouonesha kwake🙏🏾
Na hii ndio taarifa yake