Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Mahakama na mawakili wako makini zaidi ya mjuavyo.
Hapo taratibu zote zimefuatwa, na si kila taratibu lazima ifuatwe kwa idhini ya mwenye akaunti.
Zile ni risiti za kuweka pesa na mwekaji si Heche. Hivyo mahakama ilitoa order aliyeweka alete risiti naye kafanya.
That's not Bank statement.
Hata Bank statement mahakama inaweza ku order na ikapewa na bank mbwa nyie
 
..Ni lazima Jaji afanye uamuzi huo.

..hivi Muendesha Mashtaka akienda hospitali kuchukua vipimo vya mkojo wa shahidi au mtuhumiwa bila ruhusa ya mahakama itaswihi?
Mkuu mwambie polokwane kwamba evidence mahakamani lazima iangaliwe kama ni admissible
Pili, ikiwa ni admissible kinachofuata ni mshatakiwa kupewa taarifa ya matumizi ya evidence hiyo

Maswali yanayobaki ni haya ; 1. Je Mahakama ilikubali risiti hizo kuwa ni admissible? 2. Heche alitaarifiwa? 3. Risiti hizo zimetoka wapi? Kama ni Bank, je kulikuwa na mazungumzo na Heche kwamba zinahitajika kisheria !
Ikiwa ni za mtandaoni, nani alifanya verification kutoka mahakamani kwamba risiti ni admissible
 

..asante kwa ufafanuzi wa ziada.

..kuna watu wako kazini kuwachonganisha Chadema.

..ngoja tuone mwisho wake utakuwa nini.
 
Mkuu kama risit inayotembea kwa mitandao ndo iliyoonyeshwa mahakamani basi hii sio bank statement hivo bank haihusiki.
Hii ni rist ya mhusika alieweka pesa kwenda kwa heche.
Swali kwanini huyu mwekaji atunze hii risit toka 2024 jana ndo ioneshwe?
Ina maana mwekaji huyo salman nani kamuunganisha na hao mawakili mpaka awape hiyo risit?
 

Attachments

  • FB_IMG_1789444403731.jpg
    73 KB · Views: 11
Ahahahahaha! MnapoongeleaGA mambo ya Abduli inakuwaGA sahihi! Leo ya Heche eti Bank Principles! Ahahahahaha!!
 
Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!

Ujinga mtupu.

Hizo akili za kiparokia ni za kuvukia tuh barabara au.?

Tume imeshasema kwamba kuna watu walishawishiwa na kulipwa wafanye vurugu.

Na wachochezi wenyewe ni hawa lisu,heche na vichaa wengine

Kuna shida gani kuangalia taarifa zao za miamala??

Tunawafunga kenge nyinyi hamtaamini
 
Swali langu, kwann mahakama ikubali taarifa isiyofuata sheria kutumika mahakamani?
Hii kesi ya Lissu imenijulisha mambo mengi sana ya kisheria.

Kujibu swali lako Mbaga Jr ni hivi mahakama haizuii ushahidi wowote ambao hauna pingamizi. Hata kama umeiba ili kuleta ushahidi kwa kesi nyingine mahakama haiingilii ule wizi uliofanyika hata inajua ulilofanya ni kosa. Mahakama inaangalia kesi iliyopo mbele.

Hapo ni Heche kufungua kesi dhidi ya bank.

NB:-Tumefika pabaya sana. Akina Lema,Mbowe wanacheza na imani za imani za watu kwenye jamii.
 
Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!

Ujinga mtupu.
Jamhuri (sisi) inatumia kila kitu/taarifa kilichoko mikononi mwake kuihami Jamhuri. Lengo la Jamhuri ni kutaka kuonyesha kuwa shihidi sio shahidi wa kuaminika kwakuwa ni mnufaika wa kesi. Anapata kipato kwa Lissu kuendelea kuwa gerezani, anatoa ushahidi wa uongo.
 
Ni kweli mkuu, yaani baada ya kesi hii, Heche atafungua kesi mahakamani dhidi ya bank au Jamhuri kama akiona ameonewa taarifa zake kuwekwa hadharani. Lakini Jamhuri ndiyo kipaumbele na mengine yote yatafuata. Hii ni duniani kote, usifikiri hapa Marekani account yako inaweza kuingia fedha za hivihivi tu wanyamaze iwe siri yako.
 
Kwa hiyo wakati huo muamala unafanyika 2024 Lissu alikuwa ndani! Au mpaka muda huu mna ushahidi wa yeye Heche kula hela za michango ya wananchama na wafuasi wa chama, au ni muendelezo ule ule wa kuokoteza sababu zisizo na mashiko?
 
Nakumbuka kipindi cha kufanyiwa cross examination Lisu, Katuga alitaka kutoa nyaraka za Lisu, Lisu akachachamaa akauliza nyaraka zake zimefikaje huko, na jaji naye akamaindi, Katuga akarudisha nyaraka akaendelea na swali lingine? Je, kwa Heche alitakiwa ahoji au wakili wa serikali ni haki yake kufanya hivyo? Kwenu wanasheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…