Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.

Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu, Chura na Mafuriko SC kuwa Feitoto auzwe Kote ila siyo kwa Kariakoo isiyo na Mafuriko SC ili baadae asije Kuwaadhibu na Wakajuta.

Yaani GENTAMYCINE nitafurahi mno tu.
 
Nimezisikia sehemu, natamani fei aje msimbazi, japo hilo dau kwa janja janja ya viongzoi sijui kama watakubali, nasikia wao wamefika 600 na azam wanataka 900.

Sina uthibitisho ni tetesi tu
Wameshakubaliana kwa hiyo Tsh 600/= Milioni na sasa kuna taratibu zingine zinamalizwa ili aweze Kutua.
 
Inasemekana huko Mugeta kuna hali ya mawingu sa hii
giphy.gif
 
Hapo viongozi watakua wamecheza vizuri sana
 
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita ( Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.

Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele ikilichowekwa na Kariakoo ya Mbu, Chura na Mafuriko SC kuwa Feitoto auzwe Kote ila siyo kwa Kariakoo Isiyo na Mafuriko SC ili baadae asije Kuwaadhibu na Wakajuta.

Yani GENTAMYCINE nitafurahi mno tu.
Habari zimezagaa Facebook toka wiki iliyopita, Cha ajabu unakuja kujifanya wewe ndio chanzo cha taarifa wengine wanachukua kwako kumbe vice versa is true
 
Back
Top Bottom