Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Vipengele vipo ila vinakuwa na gharama zake.

Mfano Mchezaji asiuzwe timu A ndani ya misimu 3, ikitokea akiuzwa tutalipwa asilimia 120 ya kiasi tulichowauzia mchezaji husika.

Sasa kipengele kama hichi kinasababisha mchezaji kuwa na gharama ya juu sana kuuzwa hiyo timu husika ila iwapo timu ikiamua inalipia tu hizo gharama.
Hapo sawa nimeelewa. Nilitaka kushangaa eti hakuna kuuzwa timu fulani.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hivyo vipengele vina gharama zake vikivunjwa. Watu wakimtaka watakaa chini waangalie namna ya kukikabili hicho kipengele kwa manufaa ya pande zote tatu, atakayeona kaonewa atashtaki kwenye mamlaka rasmi. Mpira si biashara ya utumwa.
Gharama zake unazijua? Kuvunjwa sio hoja, hoja ni gharama kiasi Gani unazotoa kumpata mchezaji Kama Feisal! Je atakulipa kulingana na gharama ulizotoa? Je kiwango chake kinaendana na gharama ulizotoa kumchukua? Je Kuna ulazima kiasi Gani kutumia nguvu kubwa na gharama kubwa kumpata Feisal? Kwa upande wa yanga wao wataitaji fungu lao kwa mujibu wa makubaliano ya kimkataba, kwaiyo Azam wao ndio watajua biashara imewalipa ama aijawalipa, Kama waliambiwa akiuzwa Tanzania watoe 800milioni basi itawabidi wazitoe watake wasitake ivyo suala sio kuuzwa suala ni faida Gani watapata!
 
Kwa mfano, ikitokea hicho kipengele cha kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kikavunjwa na mchezaji akauzwa, je, timu iliyoweka hicho kipengele ikienda CAS inaweza kushinda kesi?

Yaani nataka kujua hiki kipengele huwa kinatumika kweli Tanzania? Na kama kipo huwa kipo kama kilivyo au kina mazingira tofauti na tunavyosikia?

Najiuliza, hao CAS huwa wanashughulika na mashauri kama haya ya kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kwa sababu kufanya hivyo ni kuhujumu maslahi ya mchezaji husika!
Timu pia hazitakiwi kuhujumiwa. Kuwekeza kwa mchezaji si jambo jepesi lina gharama. Huwezi ibua kipaji ukakikuza ili umpe mpinzani wako akitumie hicho kipaji kukunyima maslahi. Mpira ni maslahi.
 
Ni uelewa tu unakufanya ushindwe kuipata hii. Mchezaji anajipima, na timu inapima kama ana thamani hiyo. Huwezi kutoa hela kiasi chochote kwa yeyote tu, lazima awe na thamani hiyo au zaidi. Mfano umetolewa wa yule Mcameroon. Si kwamba hafai tena kuichezea Yanga, ila dau alilotaja alizidisha chumvi
Rs Berkane wao hawakuona hilo?
 
Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.

Je, hata hiki kipengele huwa kipo hata nchi zilizoendelea?
Ni wewe tu hauja taka kushirikisha akili yako vipengere vipo sana tu
 
Gharama zake unazijua? Kuvunjwa sio hoja, hoja ni gharama kiasi Gani unazotoa kumpata mchezaji Kama Feisal! Je atakulipa kulingana na gharama ulizotoa? Je kiwango chake kinaendana na gharama ulizotoa kumchukua? Je Kuna ulazima kiasi Gani kutumia nguvu kubwa na gharama kubwa kumpata Feisal? Kwa upande wa yanga wao wataitaji fungu lao kwa mujibu wa makubaliano ya kimkataba, kwaiyo Azam wao ndio watajua biashara imewalipa ama aijawalipa, Kama waliambiwa akiuzwa Tanzania watoe 800milioni basi itawabidi wazitoe watake wasitake ivyo suala sio kuuzwa suala ni faida Gani watapata!
Sasa hili si suala lako boss, ni suala la management ya timu inayotaka kumchukua. Wewe suala lako ni kusubiri atakachokifanya uwanjani ufurahie au ulie.
 
Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.

Je, hata hiki kipengele huwa kipo hata nchi zilizoendelea?
Manchester united hua wanaweka kipengele mchezaji aliye kwako kwa mkopo siku mkikutana kwenye mechi asicheze
 
makolo huyu ndie aliemsajili fei pale azam ni Yanga kindaki ndaki
Screenshot_20231016-120454_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom