Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Kwa mfano, ikitokea hicho kipengele cha kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kikavunjwa na mchezaji akauzwa, je, timu iliyoweka hicho kipengele ikienda CAS inaweza kushinda kesi?

Yaani nataka kujua hiki kipengele huwa kinatumika kweli Tanzania? Na kama kipo huwa kipo kama kilivyo au kina mazingira tofauti na tunavyosikia?

Najiuliza, hao CAS huwa wanashughulika na mashauri kama haya ya kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kwa sababu kufanya hivyo ni kuhujumu maslahi ya mchezaji husika!
Unajua maana ya mkataba?, Hujui kwamba mkataba wakununua na kuuziana mchezaji n wapande zote tatu!!. CAS wanaangalia mkataba unasemaje Kama umekiuka utaadhibiwa tu.. mpka kuwa hivyo mchezaji alilidhia kipengele hicho.
 
Back
Top Bottom