Hapo sawa nimeelewa. Nilitaka kushangaa eti hakuna kuuzwa timu fulani.Vipengele vipo ila vinakuwa na gharama zake.
Mfano Mchezaji asiuzwe timu A ndani ya misimu 3, ikitokea akiuzwa tutalipwa asilimia 120 ya kiasi tulichowauzia mchezaji husika.
Sasa kipengele kama hichi kinasababisha mchezaji kuwa na gharama ya juu sana kuuzwa hiyo timu husika ila iwapo timu ikiamua inalipia tu hizo gharama.