GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wameshakubaliana kwa hiyo Tsh 600/= Milioni na sasa kuna taratibu zingine zinamalizwa ili aweze Kutua.Nimezisikia sehemu, natamani fei aje msimbazi, japo hilo dau kwa janja janja ya viongzoi sijui kama watakubali, nasikia wao wamefika 600 na azam wanataka 900.
Sina uthibitisho ni tetesi tu
Litakuwa jambo jema sana.Wameshakubaliana kwa hiyo Tsh 600/= Milioni na sasa kuna taratibu zingine zinamalizwa ili aweze Kutua.
Ni Mipango ya kuelekea huko hivyo Kitulize Kwanza sawa? Kama ilivyofanyika kwa Saido Ntibanzokinza ndivyo itafanyika kwa Feisal Salum'Feitoto' sawa?Duh. Kumbe dirisha dogo tayari?
Kwa Juha ( Imbecile ) kama Wewe, ila kwa Sisi Brainiacs na Wadau wa Soka tunamhitaji sana SSC.Faitoto hahitajiki Msimbazi.
Na coastal Union walikuwa 6Kiwango chake kimeshuka sana,hata goli alizofunga alifunga timu yenye wachezaji 6, ndiyo maana hata timu ya taifa hajaitwa.
Habari zimezagaa Facebook toka wiki iliyopita, Cha ajabu unakuja kujifanya wewe ndio chanzo cha taarifa wengine wanachukua kwako kumbe vice versa is trueTimu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita ( Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele ikilichowekwa na Kariakoo ya Mbu, Chura na Mafuriko SC kuwa Feitoto auzwe Kote ila siyo kwa Kariakoo Isiyo na Mafuriko SC ili baadae asije Kuwaadhibu na Wakajuta.
Yani GENTAMYCINE nitafurahi mno tu.
Uliponitukana tu, onadhihirisha how Pumpkin head you areKwa Juha ( Imbecile ) kama Wewe, ila kwa Sisi Brainiacs na Wadau wa Soka tunamhitaji sana SSC.