Nauona mtandao ka bonge moja la maktaba - ni wewe kuchambua vitabu gani usome
... pia mtandao kwa sababu ya mfumo wake, pamoja na kupotosha - pia unapata upande wa pili wa habari - ni wewe tu
... pia mtandao umeshindwa kuficha siri zao na ukweli, ila zinafanikiwa kutokutangazia pa kutafuta na kukutinga na matangazo ya kutafuta upotofu wao