Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

Sahivi wao waliotuletea dini nao wamezisaliti, wamekua athiest.

Afu tulioletewa ndio tumezing'ang'ania[emoji4]
Sio dini zao. Ila uko sahihi tumeng'ang'ania mfumo waliotuletea ambao pia ni potofu na ulilenga kutuporomosha...
 
Kwenye mitandao kuna habari nyingi sana za upotoshaji...
Nauona mtandao ka bonge moja la maktaba - ni wewe kuchambua vitabu gani usome
... pia mtandao kwa sababu ya mfumo wake, pamoja na kupotosha - pia unapata upande wa pili wa habari - ni wewe tu
... pia mtandao umeshindwa kuficha siri zao na ukweli, ila zinafanikiwa kutokutangazia pa kutafuta na kukutinga na matangazo ya kutafuta upotofu wao
 
Back
Top Bottom