Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kivipi??US iliyokuwa na sheria za ubaguzi wa rangi na kukataza watu wa rangi tofauti wasioane hadi miaka ya sitini mwishoni itatoa wapi demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi??US iliyokuwa na sheria za ubaguzi wa rangi na kukataza watu wa rangi tofauti wasioane hadi miaka ya sitini mwishoni itatoa wapi demokrasia?
Discipline za watendaji wake zikoje?England yenyewe Haina democracy...
USA yenyewe Haina democracy
Wewe umechagua kuitaja US na England, Mimi nimeamua kuitaja Qatar na Emirate, zogo la nini??
Anajichanganya huyo..Kwa nini umekimbilia kumtaja mzungu??
Halafu jifunze kuandika kiufasaha!!
Mada ni democracy...Discipline za watendaji wake zikoje?
Huu ndio udikteta?Kama umekubali kutendewa kidikteta, kuanzia Sasa nakuamuru utumie Jina lako halisi uchane na hilo la "Lycaon pictus"
Na dakika kumi toka Sasa uweke hapa picha yako na historia ya maisha yako.
Na kuanzia kesho kabla ya kuingia humu JF uwasiliane na mimi kwanza Ili niamue kama uingie ama usiingie JF.
Naona mnataka kutundika daluga mapema sana😂,Duniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi.
Angalia kanisa Katoliki lilivyo stable na lenye ufanisi. Sababu kubwa ni kutoendeshwa kidemokrasia. Wanaangalia uwezo. Nenda huku KKT, demokrasia imewafanya kuwa taasisi dhaifu, yenye migogoro na ufisafi. Hata kwenye ngazi ya familia. Familia inayotaka kusonga mbele haiwezi endeshwa kidemokrasia.
Hata nchi. Nchi yoyote inayoenda kidemokrasia haiwezi kuwa stable. Haiwezi kuwa na ufanisi. Itakuwa tu kama KKT inakoelekea. Itakuwa tu kama jeshi linaloendehswa kidemokrasia. Nchi zinapoteza muda kuendeshwa kidemokrasia.
Ni taasisi makini ndiyo maana hazina demokrasia. Uhuru ni subjective. Wana uhuru unaoendana na kazi yao.Mkuu kuna kutofautisha mambo.
Vyombo vya ulinzi na usalama havina neno "uhuru au demokrasia " ni taasisi za kupokea na kutekeleza maamuzi.
Usifananishe na taasisi nyingine..
Hawa waliopatikana kwa demokrasia uchwara!!?Naona mnataka kutundika daluga mapema sana😂,
Udikteta unaousema wewe kwenye hizo nchi mnazotaka kukilinganisha nao , viongozi wake nao walipata Div 4 au waliiba mitihani, au mnalinganisha visivyofanana.
Au achana na mambo ya akili za darasani, nitajie kiongozi mmoja wa Tz mwenye charisma ya uongozi... mmoja tu aliepo kwenye mfumo kwa sasa.
Exactly and on pointMada ni democracy...
Mada sio discipline
Kama Discipline basi China na Japan na Korea wako juu kuzidi hao
Inategemea wewe unatafsiri vipi democracyDuniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi.
Angalia kanisa Katoliki lilivyo stable na lenye ufanisi. Sababu kubwa ni kutoendeshwa kidemokrasia. Wanaangalia uwezo. Nenda huku KKT, demokrasia imewafanya kuwa taasisi dhaifu, yenye migogoro na ufisafi. Hata kwenye ngazi ya familia. Familia inayotaka kusonga mbele haiwezi endeshwa kidemokrasia.
Hata nchi. Nchi yoyote inayoenda kidemokrasia haiwezi kuwa stable. Haiwezi kuwa na ufanisi. Itakuwa tu kama KKT inakoelekea. Itakuwa tu kama jeshi linaloendehswa kidemokrasia. Nchi zinapoteza muda kuendeshwa kidemokrasia.
Mkuu mimi naheshimu sana michango yako.Wewe unaongea kama vile mtoto mdogo...
USA na England zina preach democracy...na zinataka nchi zinazo wapa misaada ziwe za democracy...
Qatar na Emirates lini wali preach democracy???
Kwakweli 😅Duniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi.
Angalia kanisa Katoliki lilivyo stable na lenye ufanisi. Sababu kubwa ni kutoendeshwa kidemokrasia. Wanaangalia uwezo. Nenda huku KKT, demokrasia imewafanya kuwa taasisi dhaifu, yenye migogoro na ufisafi. Hata kwenye ngazi ya familia. Familia inayotaka kusonga mbele haiwezi endeshwa kidemokrasia.
Hata nchi. Nchi yoyote inayoenda kidemokrasia haiwezi kuwa stable. Haiwezi kuwa na ufanisi. Itakuwa tu kama KKT inakoelekea. Itakuwa tu kama jeshi linaloendehswa kidemokrasia. Nchi zinapoteza muda kuendeshwa kidemokrasia.
Who told you?England yenyewe Haina democracy...
USA yenyewe Haina democracy
Utawala wa wngi. Yaani kila mtu anasauti juu ya nchi inavyopaswa kuendeshwa. Kuna vipingele vingi vinavyowezesha hilo.Inategemea wewe unatafsiri vipi democracy
Exactly and on point
Kwahiyo sisi tunaweza kuwa kama Japan au China au hata Korea tukiwaacha mtutawale at your wish? Can you by any means promise that?
Una dictate nini ukiwa huna discipline ...
mnataka nchi iingie kwenye machafuko?
Inaonesha kuwa hujui Udikteta ni Nini?Angalia mfumo wa utawala wa familia utapata picha udikteta ni nini? Angalia mfumo wa utawala wa jeshi utapata picha udikteta ni nini?
Kwa ni hiyari yake kutumia Jina lake halisi?Huu ndio udikteta?