mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Sio wasiojua ! Sema wasiovitaka hivyo vitu ni tafrani kweli kweli ! 👍✅Watu wasiojua haki, wajibu na sheria mambo tafrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wasiojua ! Sema wasiovitaka hivyo vitu ni tafrani kweli kweli ! 👍✅Watu wasiojua haki, wajibu na sheria mambo tafrani
Subutu ivi upo na akili kweliLabda haufahamu, ila kwenye demokrasia ufisadi huwa mkubwa kuliko hata kwenye udikteta.
Kwa nini mnaita udikteta badala ya kuita Haki? Demokrasia ni utamadini wa kishenzi wa mtu mweupe usio akisi matokeo mazuri kwenye nchi za weusi au nchi za kiarabu ambazo zinaendeshwa kiimla.Umekaa ukawaza utetee Vipi udikteta, ndiyo ukaja na hii hoja yako dhaifu.
Wewe binafsi unapenda kutendewa kidikteta??
Kwa nini mnaita udikteta badala ya kuita Haki? Demokrasia ni utamadini wa kishenzi wa mtu mweupe usio akisi matokeo mazuri kwenye nchi za weusi au nchi za kiarabu ambazo zinaendeshwa kiimla.
Ukiingia Demokrasia lazima uharibu mambo, hii kusema wengi wape , kila mtu ana haki, igeuze iwe kwenye familia yako, mkeo awe na haki sawa ya kuamua mambo yake ya ndani na nje uone kivumbi chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama familia zingeendeshwa kidemoklasia sidhani kama Kuna mtoto angeenda shuleFamilia yako unaitendea kidemokrasia au kidikteta?
Umeamka nazo sisterDuniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi.
Angalia kanisa Katoliki lilivyo stable na lenye ufanisi. Sababu kubwa ni kutoendeshwa kidemokrasia. Wanaangalia uwezo. Nenda huku KKT, demokrasia imewafanya kuwa taasisi dhaifu, yenye migogoro na ufisafi. Hata kwenye ngazi ya familia. Familia inayotaka kusonga mbele haiwezi endeshwa kidemokrasia.
Hata nchi. Nchi yoyote inayoenda kidemokrasia haiwezi kuwa stable. Haiwezi kuwa na ufanisi. Itakuwa tu kama KKT inakoelekea. Itakuwa tu kama jeshi linaloendehswa kidemokrasia. Nchi zinapoteza muda kuendeshwa kidemokrasia.
Ni "thubutu"Subutu ivi upo na akili kweli
Na watoto pia.Kwa nini mnaita udikteta badala ya kuita Haki? Demokrasia ni utamadini wa kishenzi wa mtu mweupe usio akisi matokeo mazuri kwenye nchi za weusi au nchi za kiarabu ambazo zinaendeshwa kiimla.
Ukiingia Demokrasia lazima uharibu mambo, hii kusema wengi wape , kila mtu ana haki, igeuze iwe kwenye familia yako, mkeo awe na haki sawa ya kuamua mambo yake ya ndani na nje uone kivumbi chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia ndiyo SI unit ya Taifa.Familia sio nchi,jifunze kutofautisha hilo kwanza,mbona unakua na upeo mdogo hivi wa akili.
Kwa nchi zetu za kiafrika tunahitaji demokrasia sio lazima ya kuchagua viongozi wakuu ila ile yenye misingi imara ya mihimili kujitegemea na kuwa na uwezo wa kusimamiana sio hichi kilichopo hapa tz,watawala wa kiafrka wengi ni mafisadi na wahuni tu,usipo kuwa na misingi mizuri ya kuisimamia na kuiwajibisha serikali wananchi lazima waumie.
Mfano dhaifu sana unaotoka kwa mtu dhaifu kimawazo. Familia unayoianzisha wewe na nchi wapi na wapi?. Au ndo ccm mnaona nchi ni mali yenu na mliianzisha ninyi?Familia yako unaitendea kidemokrasia au kidikteta?