Taasisi yoyote makini haiwezi kujiendesha kidemokrasia

Umekaa ukawaza utetee Vipi udikteta, ndiyo ukaja na hii hoja yako dhaifu.

Wewe binafsi unapenda kutendewa kidikteta??
Kwa nini mnaita udikteta badala ya kuita Haki? Demokrasia ni utamadini wa kishenzi wa mtu mweupe usio akisi matokeo mazuri kwenye nchi za weusi au nchi za kiarabu ambazo zinaendeshwa kiimla.

Ukiingia Demokrasia lazima uharibu mambo, hii kusema wengi wape , kila mtu ana haki, igeuze iwe kwenye familia yako, mkeo awe na haki sawa ya kuamua mambo yake ya ndani na nje uone kivumbi chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Familia sio nchi,jifunze kutofautisha hilo kwanza,mbona unakua na upeo mdogo hivi wa akili.

Kwa nchi zetu za kiafrika tunahitaji demokrasia sio lazima ya kuchagua viongozi wakuu ila ile yenye misingi imara ya mihimili kujitegemea na kuwa na uwezo wa kusimamiana sio hichi kilichopo hapa tz,watawala wa kiafrka wengi ni mafisadi na wahuni tu,usipo kuwa na misingi mizuri ya kuisimamia na kuiwajibisha serikali wananchi lazima waumie.
 
Umeamka nazo sister

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Na watoto pia.
 
Familia ndiyo SI unit ya Taifa.
 
Familia yako unaitendea kidemokrasia au kidikteta?
Mfano dhaifu sana unaotoka kwa mtu dhaifu kimawazo. Familia unayoianzisha wewe na nchi wapi na wapi?. Au ndo ccm mnaona nchi ni mali yenu na mliianzisha ninyi?
 
Huwezi kuendesha nchi kwa demokrasia inayohubiriwa na magharibi nchi ikasonga mbele kimaendeleo.
Ndio maana waliotuletea hiyo demokrasia ya magharibi hata wao hawaifuati. Afrika tuna aina ya demokrasia yetu.
Ila Samia hapana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…