Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
Hapana, hakuuawa, mzimaAisee kumbe ndivo ilivokua, vipi mmiliki wa hiyo pikipiki aliachwa hai??
Maana wanachoniboa zaidi hawa wezi ni kuua.
Na yeye ndie alikua na taarifa za pikipiki kufungwa GPS
Hapana, hakuuawa, mzimaAisee kumbe ndivo ilivokua, vipi mmiliki wa hiyo pikipiki aliachwa hai??
Maana wanachoniboa zaidi hawa wezi ni kuua.
Nasemaje irudiweee irudiweee, ukishakua mwiz wewe huna haki hata moja . PeriodWe can’t lower our standards to those of HOOLIGANS.
Ah mbona mambo hayo yanafanyika sana bongoDuh! Nimeiona ile video iliyojaa unyama wa hali ya juu na sikuimaliza. Nilijua unyama wa namna ile ni wa majuu tu kumbe ni hapa Bongo!? 😩😩😩
nilishawahi ibiwa laptop na tv set mpya, laptop laki 7 na tv laki 5.Hujawai ibiwa wewe...
duh mkuu msisiri nime kunywa kahawa sana na wazee miaka 20+ iliyopita!KUNA MITAA YA MSISIRI/MSUFINI PANDE ZA MAHAKAMA YA KINONDONI WATU HUKO WANAKUAMBIA UKIENDA KUIBA MITAA HIYO
HUTOKI SALAMA,LAZIMA WAKUGEUZE KITOWEO
Mshana Jr
Ova
Watanzania ni wanafiki sana.Wabongo kusema ukweli tu wanafik sana kmmke mwizi adhabu yake ni kifo tu
Pale hata mm nlinyoaga kitambo sanaduh mkuu msisiri nime kunywa kahawa sana na wazee miaka 20+ iliyopita!
nimeishi pale kabla ile bara bara haijawekwa lami!! kinyozi wangu alikuwa mzee mmoja alikuwa ana nyoa chini ya embe pale Mwananyamala hospitali 🙆
Nasemaje irudiweee irudiweee, ukishakua mwiz wewe huna haki hata moja . Period
kama umenyoa pale utakubali maisha ni safari ndefu sana!!Pale hata mm nlinyoaga kitambo sana
Ila hizo sehemu maarufu sana kuua wezi
Ova
Ah mbona mambo hayo yanafanyika sana bongo
Kuna wakati fulani muda sana umepita lakini
Nilikuwa naishi block41 kinondoni
Siku hiyo asubuhi nlikuwa natoka nawahi stendi nieleke ubungo stendi ya mkoa
Kufika pale biafra nkaona zogo la watu,vijana wazee wengi,sura za watu wengi nikawa nazijua
Pale walikuwa wamewakamata wezi wakabaji nguli kama wawili,wakawa wanawapiga huku wakiwapeleka pembeni wenyewe wanaita machinjio aise waliwapiga tofali za vichwa,mapanga vichwani wale vibaka walikuwa hoi hawajiwezi,aise jamaa waliuaaa wote pale
Unaambiwa polisi walikuja kubeba tu miili
Picha ikaishia hapo
Ova
Hahaha sasa hao wezi wa mabilion watawapataje ?Hayo nimeyaona mengi tu lakini sikubalini kumpiga mwizi wa kuku/TV hadi kumuua wakati majizi ya trillions yakiendelea kutuibia huku yakipigwa na viyoyozi maofisini mwao.
Mipaka ya kuheshimu utu ni kuto tia mkono wako kwenye mali ya mtu , tafuta chako mwenyeweNdiyo sababu binadamu tunatofautiana. Hatuwezi kuthubutu kufanya tendo la kinyama kama lile hata kama hatutapandishwa kizimbani. Binadamu lazima tuwe na mipaka ya kuheshimu UTU WETU.
Mipaka ya kuheshimu utu ni kuto tia mkono wako kwenye mali ya mtu , tafuta chako mwenyewe
Tofaut na hapo nasemaje, hata ngozi uchunwe tu, mwizi hana maana yeyote
Kwaiyo kuibiwa ni sifa?Hujawai ibiwa wewe...
Nimetoka huko leo , mamlaka zilikuwepo eneo la tukio, wala hatokamatwaHaya lakini yule bazazi wakimjua atajuta kuzaliwa kwani ataozea lupango na kubaki na MAJUTO MJUKUU [emoji23][emoji23][emoji23] aombe tu asijulikane.
Nimetoka huko leo , mamlaka zilikuwepo eneo la tukio, wala hatokamatwa
Hata wenyewe hizi case za wizi wa pikipiki zilisha wachosha zaman tu
Hahah watoto wa leo hawawezi tambua kama tulinyoa chini ya mtikama umenyoa pale utakubali maisha ni safari ndefu sana!!
kwenye macho yangu nina muona jamaa!
kweli kabisa mkuu kuna kipindi walikuwa wana uwa sana vibaka ana pigwa utadhani ni chuma kina vunjwa!
Hakuna unyama wowote mtu wa aina hiyo kuondolewaKama akianikwa hadharani kupitia number plates ni lazima aone cha mtema kuni. Kuna faida gani basi ya kuwa na vyombo vya dola ambavyo vitafumbia macho unyama kama ule. Hatuwezi kuishi kwenye DOG EAT DOG Society. We can do better than that and IMO it is not too late.