Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Wezi ni mbwaaaa pakaaa kabisa...huyo hamna hata mateso aliopata hapo wanamkanyaga kistarabuu kabisa pumbav
Amenikera Sana Huyo jamaa.

Kaharibu mafuta ya Gari bure. Huyo mnamzima taratibu mkiwa mmeweka simu mifukoni.

Majamaa yanakera sana. Mtu ambae anakuja kukuibia kwa minajili ya kukuua na wewe Dawa Yake ni kuuawa. No stories.
 
Duh! Nimeiona ile video iliyojaa unyama wa hali ya juu na sikuimaliza. Nilijua unyama wa namna ile ni wa majuu tu kumbe ni hapa Bongo!? 😩😩😩
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
 
Amen
 
Huyo wangemlisha chumvii tu mpaka afeeee
 
Ni mwizi sawa ila ktendo cha kuchukua hatua mkononi kwa kutumia hiyo njia kinaraise bad reputation juu ya nchi.

Ni ukatili ila sio mbaya sanakwa mtu wa status hiyo.
 
Ukiwafikilia wezi unaona haki
Ukirud kwenye ubinaadamu inauma
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Kama ni kweli aliiba naona kapendelewa. Hiyo adhabu ndogo sana kwa jizi
 
Duh! Nimeiona ile video iliyojaa unyama wa hali ya juu na sikuimaliza. Nilijua unyama wa namna ile ni wa majuu tu kumbe ni hapa Bongo!? 😩😩😩
Naomba nitumie pm sijaona mimi
 
Mi sidhani kama jamaa kafanya ivo akiwa hana ufahamu kua anaweza kusakwa na vyombo vya dola, tena dar kabisa na akirekodiwa na watu kibao kushuhudia.

Sidhani kama jamaa alikua anataka sifa tu ila labda anajua anachokifanya . Mpaka hii page ya 15 hakuna alieleta taarifa ya kukamatwa kwa jamaa zaidi ya watu kusema atakamatwa atakamatwa!!

Ambae ana taarifa yake alete tujue mwendelezo wake.

Tuendelee kusubiri....
 
Wala hawez kukamatwa, mamlaka zilikuwepo eneo la tukio

Kaiba pikipiki alafu kachonga namba za kugushi, kitu ambacho hakua akijua n kua pikipik ilikua na GPS , ndio njia iliyotumika kuikamata
 
Wabongo kusema ukweli tu wanafik sana kmmke mwizi adhabu yake ni kifo tu
 
Duh! Nimeiona ile video iliyojaa unyama wa hali ya juu na sikuimaliza. Nilijua unyama wa namna ile ni wa majuu tu kumbe ni hapa Bongo!? [emoji30][emoji30][emoji30]
Wala hakuna unyama pale

Wao wanapoiba wanaua watu hawana hatia kila siku je,?? Nasemaje, irudiweee sikuwepo
 
Bora hujaichek..nimeumia na kustaajabu..ofcourse wezi wanarudisha sana maisha ya watu...ila sio kwa level hiyo ya adhabu ..mkono umewekwa shavuni...madini kwa mbaliii[emoji6]
Mama, unaoneaje huruma mwizi , leo nilikua huko

Kimsingi naona kama adhabu haikutosha, irudiwee wapite na gari kubwa, wezi wanaiba, wanaua watu wasio na hatia, kwann wao kinapoumana wahurumiwe? Nasemaje irudiweee
 
Wala hawez kukamatwa, mamlaka zilikuwepo eneo la tukio

Kaiba pikipiki alafu kachonga namba za kugushi, kitu ambacho hakua akijua n kua pikipik ilikua na GPS , ndio njia iliyotumika kuikamata
Aisee kumbe ndivo ilivokua, vipi mmiliki wa hiyo pikipiki aliachwa hai??
Maana wanachoniboa zaidi hawa wezi ni kuua.
 
We can’t lower our standards to those of HOOLIGANS.

Back
Top Bottom