Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Hii nchi imelaaniwa,unaweza kuona rasilimali nyingi lakini bado ni masikini wa kutupwa..sababu ni hizi kuchoma watu moto,ukatili kama huu n.k ...unaweza kuona ni mambo madogo lakini....
Ndio ,na ndio maana ya rule of lawHii ina ukweli wowote hapa kwetu!!!?
Lakini haifuatwiNdio ,na ndio maana ya rule of law
Inatokea kama ishue kama hii ya mob injstice jamii nzima inabidi tukemee na tuwakumbushe kuwa kuna principle ya namna hiyo mfano unamshambulia hivyo usoni ujamuna baadaye unagundua umemuua ndugu yako halafu ni mistaken identity na hakufanya kosa utamrudishaje????Lakini haifuatwi
Pole sana bro umeandika kwahisia sanaNikikumbuka nilivyoporwa bodaboda yangu kwa kuvamiwa na watu watano wote wakiwa na mapanga wakitaka kuniua ikabidi niiachie nianze kula spidi lakini panga moja lilinipata ktk paja na kushonwa nyuzi nne na lingine nilipigwa kichwani sema helmet akawa mkombozi wangu hakika hiyo siku siisahau hadi ntakapo rest in peace
Jamii inakosa hii elimu, labda ianzishwe mamlaka maalumu kwa ajili ya utoaji wa elimu kwa umma juu ya mambo haya badala ya kusubiri siku ya MahakamaPrinciple inahitaji supremacy of regular law of the country. Kama ukimkamata mtuhumiwa ujue kuna sheria za ukamataji na kuna idara zilizoundwa kisheria ku deal na watuhumiwa unatakiwa umpeleke huko na SIO KU ANZA KUMSULUBISHA
Jamaa kama ana pesa hafungwi huyoKesi hiyooo
Ova
Hafungwi kama jamaa ni mwizi kweli maaskari watamuachaHuyu ana kesi ya maauaji ya kukusudia na itamkost yaani jela misha au kitanzi kudadeki zake
Kesi kama hizo unajua wakuda ni watu gani au ni kina nani ambao ndiyo watamsumbua???Jamaa kama ana pesa hafungwi huyo
Hio video nani anayo mi sjabahatika kuiona freshWewe acha ukuda at least ondosha hizo sekunde za mwisho za sura ya dereva maana atapezwa huko jela japo ndio wanampiga mtuhumiwa wa wizi
Ngumu kumezaJamii inakosa hii elimu, labda ianzishwe mamlaka maalumu kwa ajili ya utoaji wa elimu kwa umma juu ya mambo haya badala ya kusubiri siku ya Mahakama
Acha maneno wewe! Ukiibiwa siku utaelewa maana huwa wanaiba kinachouma katika mali zakoHata kama pikipiki thamani yake ni 2M haizidi thamani ya uhai wake. Aliefanya hivi atakufa kinyama zaidi
Na polisi wanaelewa hio social justice!Hata tukiwapeleka polisi,polisi hiweka sheria mfukoni kwa kukomba mlungula na kuwaachia huru mabazazi hao,kwa hiyo sisi tumeamua kubaki na sheria zetu mkononi nalaabuk!!
Ndio zao hao jamaaKuna jamaa mmoja mitaa ya homu alikuwa dereva bajaji hao wahuni wakamkodi wakaenda kumuulia vichakani huko na kutelrkeza mwili huko na kuondoka na bajaji yake!
Ndio alikuwa tegemeo kwa mke wake na watoto,! Sasa hivi ukiwaona mke na watoto wanavyohangaika unabaki kuwahurumia.
Imagine dada wa watu hata miaka 40 bado ila tayari ni mjane kwa ajili ya wajinga kama hao!
Inabidi huyu anaetetea dada zake wabakwe na kuibiwa kishenzi halafu ataelewa!Siku ukiibiwa utaelewa, kwasasa huwezi kuelewa.......juzi kuna dada jirani yetu kavamiwa kaibiwa na kubakwa na watu watatu halafu watu kama hao mkiwakuta muwachekee tu?
Polisi kama kibaka konki,mtukutu,mtu wa matukio,akienda jela anatoka anarudia wenyewe wanakuambia sisi tunakuja kubeba mzoga tu😂😂😂Na polisi wanaelewa hio social justice!
Wanatakaga muwamalize wenyewebPolisi kama kibaka konki,mtukutu,mtu wa matukio,akienda jela anatoka anarudia wenyewe wanakuambia sisi tunakuja kubeba mzoga tu😂😂😂
Ova