Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

hadi huruma mwanangu, alafu kwenye huu uzi kuna wase+nge wanawatetea maku+ma hao

amekaa anakuna nazi na kubana pua "wampeleke kwenye vyombo vya sheria"
Kmmmmae zao hao mabwege! Vyombo vya sheria my ass!
 
Aseh; huu ni unyama mkubwa sana kwa kweli.

Ingawa kuibiwa mali inauma sana.

matukio ya bodaboda kuporwa pikipiki na hata kuuawa ndiyo hupelekea haya yote
 
ddu
Ukiangalia hii video utajua kwanini watu huchukua sheria mikononi.
Huu ni mfano tu. Hii video ilitrend mitandaoni kitambo kidogo. View attachment 1827515

Sent from my PBAT00 using JamiiForums
du
Ukiangalia hii video utajua kwanini watu huchukua sheria mikononi.
Huu ni mfano tu. Hii video ilitrend mitandaoni kitambo kidogo. View attachment 1827515

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile apduh so sad,halafu kweli kuna watu bado wanawaonea huruma hao manyang'au?
 
Kosa la kuiba sh.100 hali justify adhabu ya aina hio! Hizo fedha za umma sio zako mfukoni ndio maana mnashabikia kesi zao hizo!
Babu ktk hiyo clip aliyegonga mwizi alikuwa kaibiwa yeye? Kwanini unasema fedha za umma si zangu au zako kutoka mfukoni kwani kuna mtu huwa anakulipia kodi?
 
we jamaa hujawahi kuwekwa mtu kati na wezi.mm najua hawa watu walivyo wabaya wakikuweka kati,Tena hapo wamemkosea ,alistahili wamrost mzima mzima.shain kabisa
 
Babu ktk hiyo clip aliyegonga mwizi alikuwa kaibiwa yeye? Kwanini unasema fedha za umma si zangu au zako kutoka mfukoni kwani kuna mtu huwa anakulipia kodi?
Tofautisha direct na indirect mzee! Pesa zinazoliwa indirectly hazina impact sana sababu huna control nazo kwa wakati huo!
 
Kuna jamaa mmoja mitaa ya homu alikuwa dereva bajaji hao wahuni wakamkodi wakaenda kumuulia vichakani huko na kutelrkeza mwili huko na kuondoka na bajaji yake!

Ndio alikuwa tegemeo kwa mke wake na watoto,! Sasa hivi ukiwaona mke na watoto wanavyohangaika unabaki kuwahurumia.

Imagine dada wa watu hata miaka 40 bado ila tayari ni mjane kwa ajili ya wajinga kama hao!
Halafu Kuna wajinga wanatetea ujinga humu.

Mwizi akikamatwa target ya kwanza ni kumuua mengine yatafuatia mbeleni.

Tena Sasa hivi Wala Hakuna kutumia nguvu Sana , mnamkorogea Cement robo kikombe anywe tu. Shughuli Kwisha, hakuna mambo ya kuchoshana.
 
Fikiria yule anayetoa uhai wa binadamu mwenzake ili achukue bodaboda halafu anaenda kuiuza laki 7
 
Wew mleta post acha umama kabisa unajua wezi wanayo yafanya majumbani wanalawiti nk kwan? Hao waliokuepo ni wajinga nawew tutakutafuta yamkin unashirikiana nao.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wezi sio wa kuonea huruma labda wewe hujawahi kuibiwa .hujui uchungu wa kuibiwa na wakakujeruhi pia
 
Bora hujaichek..nimeumia na kustaajabu..ofcourse wezi wanarudisha sana maisha ya watu...ila sio kwa level hiyo ya adhabu ..mkono umewekwa shavuni...madini kwa mbaliii[emoji6]
Hata wezi huwa wanatuua kwa mateso sana. Kukatwakatwa mapanga na mashoka au kugongwa kichwani na nondo au mitaimbo. Unavutwa sikio hadi linachanika kisa heleni. Unakatwa sikio hadi uoneshe ulipoficha hela.

Hiyo video binafsi naiona ya kawaida.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kaka usihangaike hata kuiangalia hiyo video na usiitafute utaumia sn.Me nimeiangalia jana sipo sawa mpaka leo.Jamaa anakanyagwa na gari akiwa mzima mzima.Anapiga kelelee sn za kilio cha uchungu cha kifo.Hata niibiwe vip sina ujasiri na unyama wa kufanya vile kwa binadamu mwenzangu.
na huyu dereva hatua za kisheria zimechukuliwa tayari au?
 
Back
Top Bottom