Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Tofauti yako we umeipunguzia serikali mzigo wa wahalifu!Unayeua una tofauti gani na mwizi?
Tofauti yako we umeipunguzia serikali mzigo wa wahalifu!Unayeua una tofauti gani na mwizi?
Siwezi kuiba sababu ni immoral behaviour!Wajumbe naomba kuuliza kuna mtu humu ndani hajawahi kuiba hata shngmia, iwe hom au shule? Je mzazi wako angekupa adhabu kama hii pale ulipoiba shingmia ungempongeza?
Wanajua watapata kaziWanatakaga muwamalize wenyeweb
Dah hilo tukio limenitia simanzi sana! Yani watu wanamchepa mwenzao mpaka ana overbleed anakufa? Na kumbaka mkeweNgoja nikupe senario ya mwizi aliyeingia kwa Uncle wangu nikiwa mgeni wao siku hiyo;
Tuliahuka kwa kelele za mtoto akisema mwache Baba, wakati huo weI walikuwa wanamkata uncle kwa Majambia.
Uncle alipokomaa huku akiwa anachuruzika damu maana walipiga na kumkata wakawa hawaoni tena pa kumkata, wakarudi kwa Mama wakawa wanambaka mbele ya mumewe (Uncle) huku watoto wakizidi kupiga kelele za mwache mama.
Baada ya dak kadhaa wakahisi hawako salama wakakimbia..... wakati huo sisi wengine tulifungwa kamba na kuwekwa nguo kwenye midomo.
Uncle alifariki dak chache baada ya kufikishwa hospitali.
Binafsi nilishuhudia tukio hilo kwa uchungu, ni tukio lililoniathiri sana kisaikolojia.
Wakati mwingine anayefanya hivyo hafanyi kwa sababu anataka aonekane yu mkatili ila ni kushindwa kuthibiti athari alizopata kutokana na shuhuda za wezi na wizi/ Ujambazi.
Wengine wezi wakiuliwa alafu huko kwenye mamalaka ni wanted,mamlaka zinaachana naye
Ova
Sasa unakuta kuna mwizi mkabaji yuko wantedTofauti yako we umeipunguzia serikali mzigo wa wahalifu!
Eeh ndio inavyokuwa na mwizi akiwa mgeni hata wananchi wanaweza mhurumia ila akiwa concord wanam “SHAYAWENA”Sasa unakuta kuna mwizi mkabaji yuko wanted
Mbaya na polisi lkn bado anafanya matukio!
Sasa kama huyo akiuliwa mamlaka haina habari naye
Ova
Kuna mleta uzi huu kaupandisha humu mbonaMwenye kujua hasa mwanzo wa video ukoje atupatie, maana mpaka sasa kinajadiriwa kipande ambacho tayari “adhabu” imefika almost tamati.
Ugumu zaidi ni kwamba crime scene ni katikati ya foleni za magari plus ni usiku, Je’ ni kwamba alishikwa hapohapo akiiba hiyo Boda kwenye foleni usiku huo? Au jamaa aliyemwadhibu alimkariri sura kitambo na hapo ndipo alipomkamatia (katikati ya foleni, barabarani, usiku?)
Tungepata mwanzo kabisa wa tukio mpaka kufikia hiko kipande cha adhabu ingekaa Poa.
PTN; Wezi wa aina zote ni adui wa maendeleo, iwe kibaka, jambazi, tapeli ama fisadi, wote ni kirusi ndani ya jamii.
Katika mazingira kama haya kesho yake ukute mwizi mahali sidhani kama utakuwa na roho ya kibiinadamuUkiangalia hii video utajua kwanini watu huchukua sheria mikononi.
Huu ni mfano tu. Hii video ilitrend mitandaoni kitambo kidogo. View attachment 1827515
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Sawa mwizi ni mwizi tu, wezi wa ngazi zote tuanze kuwapa adhabu za namna hii tuanze na watoto wanaoibia wazazi wao majumbani, twende na mtaani tuwashughulikie baada ya hapo tuhamie kwa maafisa wa serikali wanaoiba fedha za uma kwa kutumia kalamu, nazani tukifanya hivi dunia itakuwa sehemu salama.Siwezi kuiba sababu ni immoral behaviour!
Wezi wanaoibia mabilion serikalini naoSawa mwizi ni mwizi tu, wezi wa ngazi zote tuanze kuwapa adhabu za namna hii tuanze na watoto wanaoibia wazazi wao majumbani, twende na mtaani tuwashughulikie baada ya hapo tuhamie kwa maafisa wa serikali wanaoiba fedha za uma kwa kutumia kalamu, nazani tukifanya hivi dunia itakuwa sehemu salama.
Kosa la kuiba sh.100 hali justify adhabu ya aina hio! Hizo fedha za umma sio zako mfukoni ndio maana mnashabikia kesi zao hizo!Sawa mwizi ni mwizi tu, wezi wa ngazi zote tuanze kuwapa adhabu za namna hii tuanze na watoto wanaoibia wazazi wao majumbani, twende na mtaani tuwashughulikie baada ya hapo tuhamie kwa maafisa wa serikali wanaoiba fedha za uma kwa kutumia kalamu, nazani tukifanya hivi dunia itakuwa sehemu salama.
Utampata wapi umfanye hivyo!Wezi wanaoibia mabilion serikalini nao
Ova
Kuna mleta uzi huu kaupandisha humu mbona
Hiyo video
Ova
Wanamponda mchizi na jiwe la kichwani yani halafu mtu kama huyu akishikwa akadedishwa mnasema watu wana roho mbaya? Mnajua ameua wangapi?Wezi wa pikipiki wa hovyo sana,wanatoa uhai wa mtu halafu pikipiki wanakwendq uza 500,000 mpaka 700,000
View attachment 1828982
Nilisema kabla kwa tukio alilofanya jamaaHaijakamilika, haitoi picha halisi ya mwanzo kabisa wa tukio.
Kingine hapo mtoa adhabu ni mmoja tu kitu ambacho kinaua dhana ya “kauawa na wananchi wenye hasira kali!”
Ndio maana nikauliza is it an old grudge kati yao (mwadhibu na mpokea adhabu) ama ni tukio la siku hiyo hiyo? Yani kaiba, kakamatwa hapohapo, kapangwa barabarani then gari na dereva vikamaliza kazi?
Hakuna kuonea huruma mwizi,hiyo ndio dawa,Ila seriously ukiwakuta hawa wezi wanavyowafanyia wanaowaibia sometimes hakuna namna.. WANASTAHILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamponda mchizi na jiwe la kichwani yani halafu mtu kama huyu akishikwa akadedishwa mnasema watu wana roho mbaya? Mnajua ameua wangapi?