Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Kwel wezi Ni noma wanarudisha nyuma Sana nimeona video hyo nikashindwa kuitazama mpk mwisho ila ukweli Ni kwamba huyu anayemkajaga huyu jamaa amekozea sana snaauatashain kuwa yey hajawai kufanya makosa dah mungu amsamehe ameingilia Kaz yake
Ila wezi wakina Singh hawavamiwi kama hivyo
 
@Ukwaju unajua jukumu lako.
Jamaa mwingine akamtupia kwenye mfereji, huyo aliekuwa anamkanyaga na Gari kamalizia maneno yake kwa kusema walishawahi kumuibia simu.

Kama kweli huyo ni mwizi, wezi sio watu wazuri, na wezi sio watu wa kuwahurumia. Hiyo adhabu saizi yake.

Siwezi kumuhurumia mtu mwenye roho mbaya ambae anaweza kukutoa roho kwa kitu chako mwenyewe ambacho umekitolea jasho.

Akipona hawezi kutembea tena, ni wheelchair tu hapo
 
Amechukua sheria mikononi sijui huu usemi umetokana na nini kwamba alitakiwa achukue sheria wapi
 
Kama kweli huyo ni mwizi, wezi sio watu wazuri, na wezi sio watu wa kuwahurumia. Hiyo adhabu saizi yake.
Yule aliyehukumiwa pamoja na Bwana Yesu naye ni miongoni mwa hao ila sijui neno takatifu linasemaje juu ya wote wawili, aliyeiba na aliyekanyaga
 
Tanzania ya Samia hiyo 😉
Kwani enzi za hayati, wezi na majambazi walikuwa wanapewa adhabu ipi??

Au ndio wale tulikuwa tukiona maiti zao kwenye viroba??

Mpe hongera zake Mama, things are getting better on her hands. Tumpe ushirikiano

Otherwise, sijapenda tabia hii sugu ya wananchi kuendelea kujichukulia sheria mkononi.
 
Things are getting better? What kinda crack you been smoking?

Hebu mwulize huyo jamaa aliyekanyagwa na gari kama things are getting better!
 
Things are getting better? What kinda crack you been smoking?

Hebu mwulize huyo jamaa aliyekanyagwa na gari kama things are getting better!
Kwani matukio ya wezi kuuawa yameanza awamu hii ya 6??

Mbona hata enzi za mwendazake walikuwa wanatiwa moto. Sioni cha ajabu hapo Chief
 
Zinatofauti gani na zile za kupigana risasi, kuuawa na kufungwa kwenye mifuko ya sandarusi!? Hivi kuna zama za kikatili na ovyo kama za mwendazake!? Tena aliua watu wasio na hatia yoyote ile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Nyani hataki kuamini kuwa mwanamke anaongoza Nchi na ndiye amiri jeshi mkuu.

Najua tatizo hili limetokana na mfumo dume uliopo huku Kanda ya ziwa. Kama uliweza kum support the late JPM huna budi kum support na H.E SSH kwanza wote wamekuwa viongozi kwa Chama kimoja
 
Ina matusi balaa alaf kipengele kingine ni MB Zaid ya 20 na bundle ni changamoto sio utani ndo maana na plan kuiuza kwa atakayenifanyia wepes halotel mega
Acha ubahili, tumia cha asubuhi but niliiona Twitter jamaa ana gari jeusi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…