Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

huwa ni wakarimu mno, hasa kwa watoto katika kujitolea kwa kuwazawadia watoto na lakini pia kwenye kuzungusha round mbili tatu kama tulivyo, ni jambo jepesi mno aise ..

Inashangaza sana kwakweli πŸ’
Mafwele unalewaga na Kuteka umwachie Nani ?
 
Pole sana.
 
Kuna jamaa yangu akishalewa halafu watu wamsumbue utamsikia anasema 'Unajua mimi ni mbwaa me mbwaa we endelea tu' hapo ujue pombe imekaa pahala pake ila sio mgomvi ni biti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…