Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Sawa tumekusoma mama. Haya nyie wanaume Wenye tabia hii mbovu ya kuomba namba za wanawake kwa lengo la kuwatongoza muwache mara moja.
 
Hujui tu sister jinsi tunavyotamani kupata wenza wanaojitambua. Ila kila tukijaribu wote ni kama mama na baba zao ni wamoja.
Hicho unachotulaumu ni vile tunajaribu kuitumia kila fursa kuweka mambo sawa
Umeeleweka sana mkuu
 
Tatizo na nyie wanawake mkisaidiwa hamna namna ya kutoa shukrani zaidi utataka iyo bibi hapo chini itoke kama zawadi.

Tukitoa msaada bila kuwaomba namba mnaona tumedharau uzuri wenu.
Hii ni excuse tu ILA KUNA BAADHI YA WANAUME ni shiiida, Uchumi wa Tanzania unakuwa wanawake wengi wamesoma, wengi wanashikilia nafasi mbalimbali, wengi wana biashara mbalimbali na wengi wana vipato HIVYO NI KOSA KUBWA KUMFIKIRIA MWANAMKE WA SASA WA TANAZANIA SAWA NA KARNE YA 20!!!!!

Mwanamke wa leo unaweza kushirikiana NAYE kwenye mambo chanya na yenye TIJA!!! Ila ukiwa na mawaza ya kumwona kila mwanamke kama sex toy ujuue unaweza ukawa unajifungia fursa mbalimbali mwenyewe bila kujijua!!!!

Wenye TABIA hii badilikeni!!!
 
Niliwahi kusikia kwamba wanawake kutongozwa huwa wanaona ni ujiko.

Yaani bila kusimamishwa na kuombwa namba wanahisi labda hawapendezi na kuvutia tena.
 
Wanawake wasipo ombwa namba wanajisikia vibaya wanakuwa wanyonge wanajiona wao siyo pisi kali, yani wao furaha yao ni kusikia mwanaume unaomba namba tu.
 
Niliwahi kusikia kwamba wanawake kutongozwa huwa wanaona ni ujiko.

Yaani bila kusimamishwa na kuombwa namba wanahisi labda hawapendezi na kuvutia tena.
Huu ni ujinga ulio kwenye vichwa vya baadhi ya watu
 
Naomba namba yako tafadhari, nitakuchek
 
Wanawake wasipo ombwa namba wanajisikia vibaya wanakuwa wanyonge wanajiona wao siyo pisi kali, yani wao furaha yao ni kusikia mwanaume unaomba namba tu.
OF COURSE kama ilivyo wanaume kuna wanawake wa hivyo ILA NAKUHAKIKISHIA SIYO KILA MWANAMKE YUPO HIVYO.....

Lakini pia siyo kila anayejirahisisha LAZIMA upite NAYE, tujitahidi kuwa na focus na mahusiano yetu na muda na akili zitumike kuipeleka mbele nchi
 
Cha kwanza wanaume tunajitosheleza tunacho kiona kwenu ni utelezi tu. Tukitoa utelezi wanawake karibu asilimia 99 hamna cha maana hasa nyie wanawake wa kibongo.

Kifupi hamna value zaidi ya utelezi tu....

Sasa wewe unakutana na binti wa miaka 24 cha ajabu hata buku nne ya kununua pedi hana sasa huyu nitaongea nae madili gani.......? Eti ndugu mtoa mada.

Wanawake wa kibongo most of you ni kwa ajiri ya utelezi tu nje na hapo nyie ni kama mifugo tu you are not worth any more
 
Labda wewe na wanawake wanaowaza kama wewe ni asilimia 0.1 tu ya wanawake wote.

Wengi wenu mnajiweka Kwa kujiuza uza tu Yani, mmejiweka kuliwa liwa tu yani, mnajirahisisha sanaa yani.

Hata hao wanawake wenyewe waliosoma wanaliwa kirahisi kichizi yani, yani unagusa tu ushapewa tunda

Wanawake hamn kitu yani zerooo
 
Remember one thing: Hawa ambao tunawasema vibaya ndiyo hawa wametuzaa, ni mama zetu wadogo, shangazi zetu, binti zetu, dada zetu, wake zetu, wakwe zetu, walimu wetu n.k

Ni wanaume wangapi zipu za suruali zao zimeharibika KITABU NA HAZIFUNGI TENA...

unasemaje mnavyojikuta mnalawiti watoto wadogo, mnabaka na kutembea na wanafunzi...

Na Vitoto vinavyolawitiwa navyo UNASEMAJE???
 
Ndivyo maisha yalivyo. Kila mtego umewekwa ili akwepaye awe mshidi. Kiti hukatazwa kama kipo. Kataa kilichopo sio kisichokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…