Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atunusuruKwa nini kizazi hiki kinavutiwa na ngono? Heshima iko wapi? Maadili yako wapi? Hiyo namba ya simu iko wapi? 😭
Mum, mwanaume na kutongoza ni kama uji na mgonjwa..BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!
Asilimia kubwa ni kutongoza!!!!
Yaani ni ajabu sana,unipe namba yako mwanaume afu nikuangalie tu...aisee lazima tupigane miti...na kupigana miti ndo lishe tosha kaz utafanya kiufanisi kabisa ofisini au biasharani
Ulijua mkakaKumbe wewe Ni KE🤔
Leo Beesmom ni mwanaumeKumbe wewe Ni KE🤔
Ebu weka guu tuoneLeo Beesmom ni mwanaume
We si sasa ivi umesema umepata manzi jf unataka mkalowanishane....sa mguu wangu wa nnEbu weka guu tuone
Hajatokea, njoo uokoe jahaziWe si sasa ivi umesema umepata manzi jf unataka mkalowanishane....sa mguu wangu wa nn
Mi nalala aisee,byeHajatokea, njoo uokoe jahazi
Unalalaje mapema hivi?Mi nalala aisee,bye
Mechoka sanaUnalalaje mapema hivi?
Pata 'wine' kidogo, upunguze uchovuMechoka sana
Hakuna ushirika kati ya mwanamume na mwanamke, iwe sijui biashara, kazi nk. ni ndoa pekee na udugu wa damuSalam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya mafupi katika Ulimwengu huu.
BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!
Asilimia kubwa ni kutongoza!!!! Jamani Kama ilivyo kwa wanaume wenzio mwanamke anaweza akawa mshirika katika biashara, kazi au madili mengine, sasa ukitanguliza NGONO utafunga MILANGO MINGINE ya kushirikiana kama wanajamii katika kuyaendesha maisha haya.
Baadhi ya wanaume huwa nashindwa kabisa kuwaelewa vichwa vyao vinawaza nini!!!!
Unakutana na mtu ana mahusiano au familia yake PLEASE HESHIMU PERSONAL LIFE YAKE NA KAMA HUNA CHOCHOTE UNAWEZA KUSHARE NAYE POSITIVE LET HER MOVE ON WITH HER STRUGGLE...
Usimrubuni mwanadada au binti wa watu ili ULETE UZI HAPA JF huku ukimwachia majonzi katika maisha yake!!!! Huna future na mtu au ana mahusiano yake msaidie kuyalinda na usiwe sababu ya kuvurugikiwa!!!!
Kuna wanaume wa kweli WACHACHE ambao anaweza kumsaidia MWANAMKE NA WALA ASIHITAJI NAMBA YA SIMU WALA SHUKRAN!!! Siyo wengine akipata nafasi ya kutoa huduma au msaada kwa mwanamke basi tayari ametengeneza NDOANA...
Wengi wa WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!
Jamani hii TABIA IMEKUWA SHIDA SANA KWENYE JAMII ZETU....
Kaka kama tu Elon Musk alishindwa kwenye suala hilo akapiga mfanyakazi wake na kumzalisha, sisi ni akina nani?OF COURSE kama ilivyo wanaume kuna wanawake wa hivyo ILA NAKUHAKIKISHIA SIYO KILA MWANAMKE YUPO HIVYO.....
Lakini pia siyo kila anayejirahisisha LAZIMA upite NAYE, tujitahidi kuwa na focus na mahusiano yetu na muda na akili zitumike kuipeleka mbele nchi
MmmmmhhhhhhhWanaume wengi huwa wanafeel superior tukipatner na wanaume wenzetu kwenye biashara, ila Kwa upande wa siasa kusaidiana na wanawake halileti shida kwasababu lengo ni kujenga nchi ila kibiashara lengo ni kujenga wealth ambayo itakupa power ya kufanya utakavyo.
Kwasababu hiyo, partnership ya kibiashara Kati ya mwanamke au mwanaume bila kiunganishi Cha ngono haipo na haitowezekana kwasababu hapo unaamua kupingana na uhalisia ambayo itakuumbua mbeleni.
Wanaume wengi hawapendi status ya kuwa the same with women, wanataka power na wasomi wengi wa kike wanawanyima hiyo power so anaona option nzuri ni kumteka kimapenzi.