Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Lakini kwani ukitongozwa unapigwa rungu la kichwa dada ili uzimie?
Ukitongozwa kuna option ya kukataa au kukubali. And to add on that, hata kama usipotongozwa na huyu alieomba namba, liko limsela litakutongoza hata mkipishana barabarani. You cant escape that.
I think Maria Nyedetse before u got mad at us, ungekwenda both ways na kuwaambia hao wanawake pia kua wawe wanaeka priorities mbele kwanza abt hizi vitu za relationships coz mwanamke hua anajua kbsa kua yuko mbioni kupigwa mistari na msela. So if she aint interested achochore mapema.
Everythng is a choice
 
Wewe ndo ujiwekee msimamo dada ! Sisi ukitupa namba tutakutongoza tu 😃😃 Kwa hiyo kama mnataka kukomesha hii tabia kataa tu ! Uking'ang'aniwa tia block , na siku hizi watu ving'ang'anizi hawapo ukimzungusha siku mbili anapotea !! Madeal nitafanya na wengine ambao sijawaelewa ! Ila nikikuelewa nakutongoza ! Onesha msimamo wako sasa tuone !! Ukichomoka kwangu basi , kuna baharia mwingine atakupata
 
Ww dada,soma ulichoandika mara ya pili,alafu angalia juu jipigepige kifua useme mm sijui naandika nn
 
Swadakta! umenena mkuu [emoji817]
 
Sahii kabisa
 
Very well Said Sis!
 
Kwa hiyo tufiche ukweli kwa sababu ni mama zetu....?[emoji23][emoji23]
 
Mwenye akili hizo huwa hathubutu kutoa namba ya simu wala kukaribisha kuzoena, wewe mwanamke unampa mwanaume asiekuhusu namba ili iweje, mwanamke makini hawezi ruhusu ujinga kugawa namba hovyo halafu utegemee kupewa dili, una exceptions zipi? kila siku mnawaza kushine wanaume tuwapenda na sisi tunapita nanyi hivyo hivyo.
 
mh!dada hujui raha ya kutongoza ww,alaf inategemea hyo namba mmepeana kwenye mazingira gani...mm kuna mdada nina namba yake yeye ananitengenezea bidhaa flan hv yan mazungumzo yetu ni biashara tu!tuna mwaka wa pili sasa
 
Tatizo lenu wanawake wengi hamna akili ya kujisimamia....mwanaume akikuomba namba mpe lakini muweke wazi kwa kumuambia "nakupa namba yangu lakini kama utanitafuta kwa ishu ya mahusiano tayari mimi nina mtu..lakini kwa ishu nyingine kama biashara na mambo mengine niko huru tu nicheki".......
 
mh!dada hujui raha ya kutongoza ww,alaf inategemea hyo namba mmepeana kwenye mazingira gani...mm kuna mdada nina namba yake yeye ananitengenezea bidhaa flan hv yan mazungumzo yetu ni biashara tu!tuna mwaka wa pili sasa
Sasa kuna wenzako wakiona wanawake WANAWAZA KUWATONGOZA TU!!!
 
Kama haupo tayari kutongozwa usitoe number hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke mwisho wa siku mtapigana miti tu
Mawazo potofu sana ayo.
Kwa iyo ukiwa ofisini na mademu zaidi ya 50 na uko na namba zao ni mwendo wa kupigana miti.
Just develop some decence life is all about networking na sio kila mda unawaza kungonoka
 
Reactions: Cyb
Kwa experience ya maisha niliyonayo mwanamke yeyote asiposhobokewa huwa anajisikia mnyonge saaaana, anateseka saaana😂😂😂😂😂 na hii ndio karata ninayoitumia kumuumiza mwanamke mwenye nyodo, anaejiona wa juu sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…