Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Sawaaa. Labda tunakosea. But that's human nature in men. Wanaume tunajuwa mnachekelea na kujisikia wazuri kwa kutamaniwa. Imagine kama hao unaowalalamikia wasikuombe namba?! Unajisikiaje? Shukuru unaombwa namba shukuru bado waonekana unalipa. Siku wakiacha kukuomba namba namba haki ya mama Sasha utachanganyikiwa na siajabu ukakimbilia kwa waganga kujuwa kwanini!
 
Nimezungumzia mazingiza ya kikazi, biashara au social events!!!

Sizungumzii mpita njia tu!!! Ninachomaanisha tunapaswa kuwaheshimu wanawake kama tunavyowaheshimu wanaume..
Kwani kutongwa kwa mwanamke ni kumkosea heshima🤔🤔🤔
 
Niwabinafsi mno tena mno, nakulea familia yako ni jukumu sio fadhila
Nina Imani kama wangeweza kujitokeza HATA HAPA WAPO AMBAO WANAWEZA KUKIRI WAMEFIKIA HAPO WALIPO KWA SABABU YA USHUPAVU WA MAMA ZAO!!

hao unaowazungumzia ni asilimia CHACHE MNO!!!

Wengi wa wanaume wanawaza mchepuko, nyama Choma na bia wakati akina mama kila kipato kidogo wanachokipata wanafikiria familia zao!!!

Inawezekana hao unaowazungumzia wanafanya hivyo ILI KUHAKIKISHA HAKIBAKI KWA AJILI YA KWENDA KUJONGA, KWENDA KUWEKA KAMBI BAR NA KUSAHAU FAMILIA, ILI MBAKI NYUMBANI TUSAIDIANE KULEA WATOTO!!!
 
Wanaofurahia upuuzi huo NI WALE WAKUJIUZA tu, LAKINI MWANAMKE MWENYE AKILI ZAKE ANAHITAJI KUGESHIMIWA TU....
 
UNALALAMIKA KUTONGOZWA DADA YANGU KISA UMETOA NAMBA YA SIMU!!!!HALAFU UKIFIKISHA 30 YEARS AND ABOVE HUJAOLEWA UNAJUTA ARE YOU SERIOUS?I THINK YOUR UNDER 30 THAT'S WHY UMELETA THREAD HIYO
 
Nchi gani?
 
Majibu uliyopata humu yanakupa picha what is going on.


Wanaume wamepotea. Wengi hawamjui Mungu ndo maana wanafanya hayo wanayofanya.

Ukitaka kujua usiende mbali angalia nyimbo za hapa bongo wasanii wa kiume wakoje? Wapo kitofauti wanataka kufanana na wanawake wanasuka wanapaka makeup wanavaa hereni wanaimba kwa sauti za ajabu ajabu!!!


Men are in a crisis. Wanawake wamebadilika wanabeba majukumu ya kiume wanaume wanarudi nyuma.

Wanaume humu wengi wanajisifu kupiga miti na kumwaga manii zao huko na huko ndo urijali...bila kujua ni upumbavu mkubwa.

Mwanaume aliumbwa kiongozi ila amepotea ndo maana wanawake wanaongoza siku hizi na hata kufanya majukumu ya wanaume.

Mithali 31: 3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

Wanaume wengi wanapoteza nguvu za kiroho na kimwili kwa kuzini ovyo na wanawake. Ufalme wao unaharibika!!!!!!


Kama wewe ni mwanamke kamwe usitoe namba kwa mtu mliekutana nae kwenye basi au pilika pilika kama hajielewi. Ukimpa akileta uhuni mblock sahau. Isikuumize kichwa.


Sa nyingine wanawake pia wanapenda ngono ndo maana 'subconsciously' wanatoa namba na kukubali kulala na jingaume alilokutana nalo kwenye basi. Na akili zikirudi anaanza kulaumu!!!

TUISHI HUMU

Mithali 31: 30 ...uzuri ni ubatili;
Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.


Mithali 6:32 Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.

Mhubiri 12:1​

Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
 
Reactions: Cyb
Si kweli eti wanaume kipato chetu kinaishia kwa warembo bia na nyama choma. Tunakataa kabisa kabisa.
Wanaume wanajulikana kwa kuanzisha maboma, kuyatunza, kusomesha kuanzia wakina mama mpaka watoto, kuboresha maisha yao. Ziada lazima naye mwanaume ajipende.
Ni kama mwanamke, tatizo wakitumia malaki kwenye nywele wanaona siyo issue. Wakitumia maelfu kwenye nguo za harusi na kitchen party wanaona vijisenti! Kwanini wana mawazo ya kibinafsi hivi?!
 
Ukweli mchungu
 
UNALALAMIKA KUTONGOZWA DADA YANGU KISA UMETOA NAMBA YA SIMU!!!!HALAFU UKIFIKISHA 30 YEARS AND ABOVE HUJAOLEWA UNAJUTA ARE YOU SERIOUS?I THINK YOUR UNDER 30 THAT'S WHY UMELETA THREAD HIYO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi najitambua wewe, Alhamdullih nina outstanding familia na nina kipato cha kunikidhia mahitaji muhimu ya familia yangu na mwenza mwenza NAYE yuko vizuri Alhamdullih....

Hapa nazungumzia TABIA MBAYA YA BAADHI YA WANAUME KUONA KILA MWANAMKE ANAYEKUTANA NAYE IWE KAZINI, KWENYE BIASHARA AU KWENYE MAMBO YA KIJAMII BASI ANATAKIWA KUTONGOZWA!!!!

Ndiyo maana LEO UNASIKIA WATOTO WADOGO WANABAKWA, KULAWOTIWA ni n.k kutokana na AKILI HIZI ZA HOVYO KABISA!!! TUSIPOZIKEMEA ZITATUUMIZA KAMA TAIFA!!!

UNAKUTA JITU LINA FAMILIA HALAFU BADO LINATEMBEA NA MWANAFUNZI!!!!! AU KUBAKA NA KULAWITI!!!! Mshukuru Tu Mungu; ikitokea bahati mbaya NIMESHIKA KITI CHA MAMA SIKU MOJA ADHABU NI KUHASIWA NA KUACHIWA TU URAIANI ILI KULOMESHA TABIA HIIII.....
 
Umesema kweli KABISA!!! Tuna baadhi ya wanaume YAANI WAO WANAWAZA NGONO TU na wako TAYARI KUWEKA REHANI USTAWI WA FAMILIA ZAO [UCHUMI.NA AFYA] REHANI KWA FURAHA YA DAKIKA CHACHE TU!!!
 
Aha kama ni ivyo sawa ila ukiona Hadi mtu kakuomba namba ujue kakuelewa so kama una mwenza na umeolewa naye vaa Pete ya ndoa au mueleze muhusika kwamba Niko KWENYE MAHUSIANO KWAIYO wewe kama mwanamke KUTONGOZWA ni HALI ya KAWAIDA KWAIYO uizoee tu
 
Social dimensions are changing... siku hizi wanawake wanabeba majukumu makubwa sana kwenye familia nyingi
 
Sindio maana nikakwambia studies zikazidi kuonekana kuwa ni biased kwasababu ya stereotypes. Kwakizazi hiki kuna wanawake kibao wamekimbia watoto wao na kuacha na baba yao ila mwanaume kamwe haripoti. Wengi wamevunja ndoa zao ili wakapate mali nyingi kwa wanaume wengine. Wanaume kibao wamesomesha watoto wao na pia wasiowao na hakuna aliyelalamika isipokuwa kuna ripoti zimeanza sasa. Wanawake wamefanya ufuska miaka ya teenage ni wengi mno hasa secondary na chuoni na mimi niliyekatika huu umri wakuoa, huwezi amini kila binti miaka 20 to 30 amezalishwa hivyo huoni wakuoa. Acha biasness, wanawake hawajiheshimu mno na hao wachache ni kwasababu umesema wewe ila ni wengi mno tena mno ndio maana ndoa unaona ni upumbavu tu. Wamama watu wazima tu wameanza kutafuta vijana wadogo sembuse wasichana hawa wadogo. Sijawahi onja pombe ila kila msichana unayeongea naye ameonja. Kibaya njoo hospitali uje uone gyneocological diseases zilivyoshamiri tena kwa wasichana wadogo sana hasa yatokanayo na ngono zembe. Nasema tena mwanamke simtakatifu, nilijua hivyo nilipokuwa mdogo ila nilivyokuwa nakuyaona ndio nazidi kuwadharau tu. Chuo tumalize wote, wewe ujione kilema nakuanza kutumia mwili kama mtaji halafu kesho useme huheshimiwi, si ujuha huo. Nani kakwambia wanawake hawashindi bar🤣🤣🤣. Stereotypes zitakuficha usione hayo yote.
 
Ndo maana makampuni makubwa duniani hakuna mwanzilishi mwanamke na mwanaume, ni combination ya wanaume tu, Facebook, Tesla, Google, Yahoo .....
Wanawake wanaishia kulamba C.E.O tu na muda wowote wanatolewa
 
Ningekua nataka namba kwaajili ya biashara ningeenda kumuomba bakhresa we Irene tulia nikuombe kitu unaweza kunipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…