Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Sijajua kuhusu punyeto mana ni jambo la hisia lakini kuacha kubet,uongo na kumcha Mungu ni mambo yanawezekana sana

Kuhusu bet
Fanya tathimini ya faida na hasara,uzuri wewe umeshaona uko na hasara nyingi kuliko faida...then punguza idadi ya siku unazobet(kama ulikuwa unabet siku tano kwa week,anza kubet siku mbili)
Halafu ukipunguza siku unazobet punguza na kiasi unacho-stake
With time utajikuta umeacha/umepunguza

Uongo
Hii ni rahisi kuacha ukianza kuwa na utu,anza kufikiria umuhimu wa huyo mtu unayemuongopea....pia unaweza kujiuliza wewe unapenda kudanganywa?kama jibu ni hapana unajua nini unatakiwa kufanya

Kumcha Mungu
Ukiwa na moyo wa shukurani ni rahisi pia kumcha Mungu
 
Unapiga kwa mkono mkavu? [emoji16][emoji16][emoji16] Wewe inafaa ujengewe sanamu pale chamwino.
 
Binadamu wote tunakosea ila mbora ws wakoseaji ni yule anapobaini kosa au mienendo isiyoridhisha anarud Kwa Mungu kwa Toba.

Pia mambo yote tuyatendayo mengine ni kutokan na kuindekeza nafsi na wala haiana maan kuwa hayawezekani kuachika.

Iambie nafsi yako iachane nayo hayo mambo na mwenyeewe tia nia moyoni kuhusu kuyaaacha nina imani utayaacha.
 
Mkuu punguza stake ya kubet mm nabet lakn stake yangu n 10k kwa wiki mkeka mmoja naweka 5k na ninacheza double chance mwisho odds 2 sizid hapo na n timu kubwa tu

Usibet ili upate hela ya utajiri mkuu bet for fun hautoumia

Kiukwel betting n uraibu simshaur kijana yeyote ajiunge na hiki kiwanda
 
AMUA
 
Pole
 

Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako na pia kuchukua mda wako kusoma linalo nikabili na kunipa ushauri wenye mwangaza nakuahidi nitaufanyia kazi.

Cha kuongezea tu ili unielewe vizuri ni kwamba ninacho amini mimi (maana mimi ndiyo najijua niliyeko kufungoni).
NI KWAMBA : Betting ndiyo kiini cha yote haya yalonikumba, maana betting ndiyo inanifanya niwe na MSONGO WA MAWAZO (STRESS) pale ambapo nakuwa nimeshaliwa hela, alafu nikisha kuwa tu msongo mawazo basi wazo la ngono linanijia na wazo la ngono likishanijia kuanza kutafta dem ni process ndefu kwa hiyo huwa najikuta naangukia kwenye PUNYETO na nikishapiga punyeto badae akili huanza kurudi sawa na kujitafakari upia na nikisha jipanga upya ili mipango niende sawia kama niliahidia na watu inabidi nidanganye (UWONGO).

Hii ndiyo circle ya maisha yangu ilivyo mkuu : BETTING + STRESS/FRUSTRATION +PUNYETO+UWONGO = CHUKIZO KWA MUNGU ALAFU KIFO TU NDO KINAFATA HAKUNA KINGINE MAANA NISHATESEKA SANA KWENYE HIKI KIFUNGO
 
Pole kijana mwenzangu. Niliacha kubeti tu, nilikosa hamu baada ya kuwa naliwa sana baadae nika lose interest nikaacha.

Punyeto fanya kistaarabu. Sio vibaya kupiga nyeto kwa kiasi.

Ongeza hobby zingine kama movies, kuogelea, tours etc itakupa nafaci ya kuexplore mengine yaliyojificha na ubongo wako kuacha kuwaza machache.

Fungua biashara.

Anza kusoma vitabu utabadilika, hasa self help books baadae self improvement fatilia watu wenye kunena maneno ya hekima, pendelea kusoma quotes pia.

Penda kuwafanyia ndugu zako mazuri rudisha roho ya kujali badala ya kujijali zaidi, punguza matamanio ya maisha mazuri kwa kuelewa mafanikio ni nini.

Pendelea kuanda bajeti kabla ya matumizi. Kila senti iende kwenye lengo.

Jisamehe na samehe wengine.

Ukifanya hivyo UTABADILIKA WITHIN A MONTH.
 

Mkuu nashindwa kumlaumu aliyenifunza betting nabaki tu najilaumu mwenyewe maana ni tamaa ya pesa za bila jasho ndiyo iliniingiza.
Hata mimi nawashauri vijana hili pepo la kubeti liwepitie mbali kabisa maana tangu nimeanza kubeti pesa nilipoteza ningesha jenga nyumba ya vyumba 7 kabisa kwa gharama za maisha za mahali ninapotokoea.

NB : Mimi BETTING ndiyo imezalisha tabia zingine zote sugu ambazo ninazo, maana nikisha bet dau kubwa mfano lak 5 na nikaliwa basi hapo ndipo msongo wa mawazo (frastruation) huja na nikishakuwa kwenye frustration basi wazo la ngono linakuja na kwa sababu kuanza kutafta dem ni process basi najikuta naangukia kwenye punyeto na nikishapiga punyeto nikaridhika basi frustration hupungua na akili huanza kurudi kwenye kujitambua na nikishaanza kujitambua basi naanzaga tu kujutia kwanini nimepga punyeto, kwanini nimeweka dau kubwa lisiloendana na kipato changu, baada ya hapo sa ili mambo niliyopanga yaende sawia inabidi nianze kuwadanganya niliahidiana nao mambo ya fedha wakati naangalia nita solve vp maana pesa ishachukuliwa na muhindi.

Kwa hiyo betting ndiyo sababu sugu ambayo imezalisha shida zingine zote na kuacha kwangu kwa kweli imekuwa kipengele
 

Well said brother,
Kuna point za msingi sana nimezi note kwako nakuahidi nitazifanyia kazi.
Ila mzizi wa haya yote ni BETTING, yani betting ndiyo shina ila punyeto, uwongo ni matawi tu yanayosababishwa na shina (BETTING).
kikawaida mimi huwa sipigi PUNYETO kama sina (stress), stress ndo hunifanya mimi nipige punyeto na stress zangu mimi huja pale ambapo nimeweka dau kubwa kwenye betting alafu nikaliwa, pale huwa ndo nahisi kuchanganyikiwa na wazo linalojia kinywani ni ngono tu kwa sababu kutafta dem ni process ndefu kwa hiyo huwa najikuta naangukia kwenye PUNYETO.
MFANO siku hiyo kama nimeweka laki 5 alafu ikaliwa basi siku hiyo sitoki ndani ni kuangalia porno na kupiga nyeto tu mpaka ani niamini kabixa kuwa hela ishaliwa ndiyo akili inaanza kurudi
 
Unapiga kwa mkono mkavu? [emoji16][emoji16][emoji16] Wewe inafaa ujengewe sanamu pale chamwino.

sijawahi kupiga punyeto kwa kilainishi chochote mimi huo ndiyo ukweli wangu.
huwa naona tu mtandaoni sijui kuna wanaotumia sabuni, mafuta ya mgando na n.k ila mimi tangu balehe 2010 mpaka leo 2021 almost ten years sijawahi tumia kilainishi kwenye punyeto hata siku moja, ni mkono wangu mmoja unashikilia mashine mkono wangu mwingine unashikilia simu au pc yenye porno movies basi wazungu nawatoa.

sijisifii kuwa najua kupiga punyeto ila punyeto ni kitendo kibaya sana hasa pale unapokuwa mraibu, alafu sasa ninaposhangaa sijawahi ku experience madhara ya moja kwa moja kama yanayosemwaga mitandaoni sijui kuwa kibamia,kuwahi kumwaga, kushindwa kurudia round ya pili na mengineyo wanayosemaga.

Kitu pekee ambacho nimeki experience kweli labda kinatokana na punyeto ni kwamba nikiwa na dem mpya mashine haiwezi kusimama kabisa (mpaka nimzoee tucheze cheze nae tufanye utani wa kitoto kidogo) lakini tofauti na hapo mashine haisimami kabisa.
Ila kuhusu kuwa kibamia hilo si kweli labda tu iwe asili yako kwa kuzaliwa si punyeto kuwa chanzo, mfano nina mwaka 10 napiga nyeto lakini mashine haijawah pungua ukubwa na mara nyingi nikiwa na dem mpya akiiona ananambia mbona una kama la punda, kuhusu kuwahi kufika kileleni mimi sioni tofauti maana kikawaida goli la kwanza nachukua dakika 7 hadi 15 ila la pili nachuaga 40+ minutes hadi saa zima au sometime inabidi tuache kabisa maana anaanza kulalamika amechoka alafu sikojoi inabidi umwonee huruma mkatishe show.

Kwa hiyo madhara ya punyeto kisaikolojia kweli yapo ila kiafya kwa upande nimepiga puchu huu mwaka wa kumi sijaona shida ya siriazi kiafya kisaikolojia kweli nakubali hata mimi nishaathirika sana.

NB : sikuhamasishi kupiga punyeto na huenda madhara kiafya yakategemeana kati ya mtu na mtu.
 

So far the best advice mpaka sasa
 
Wewe ni kichaa unayejijua kuwa ni kichaa.

Hongera sana
 

Nafikiri hujawahi kutwa na uraibu wa aina yeyote ile maishani mwako ila ungekuwa umekutwa na uraibu flani sidhani kama ungesema ni kuiendekeza nafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…