Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Maendeleo kwako ni nini?Sababu inayofanya mikoa mingine watu wasijenge nyumba vijijini ni Uchawi na Ushirikina.
Kwa jamii za wachaga vijijini ni fahari kuona mtoto wa mwenzie amejenga, amenunua gari amefaulu mtihani n.k
Lakini kwenye vijiji vya mikoa mingine thubutuuuu.
Ndiyo maana maendeleo maeneo yoyote yenye uchawi hakuna sababu akijitokeza mtu au watu kufanya jambo la maendeleo wanamuua au kumrudisha nyuma .!
Jenga sehemu yoyote yenye fursa na sio kujenga kisa ni kwenu or something. Dunia inaendelea kwa kasi sana hivyo ukibaki na mawazo ya miaka ya 1960 utakuwa unajitafutia kufa masikini.
jenga popote pale penye fursa hata marekani, ila kama umeona kilimo ni fursa basi jenga huko shamba.
mtu mwenye akili ya kujenga kwao mradi ni kwao karne hii lazima atakuwa na mindset ya kitoto.
Well mkuu seriously unadhani kila mtu amezaliwa shamba kijijini kwenye kijumba cha udongo?Kwa hiyo kule kunako chimbuko la wazazi wako utakuwa huendi?
Je kama utaenda utaenda kufikia wapi? Kwenye nyumba gani?
Kwenye kibanda cha udongo cha mbavu za mbwa ?
Saingine kinavuja wakati wa mvua!
Je ukienda utaenda kujisaidia porini ?
Maendeleo kwako ni nini?
Mkuu kama unajisifia sawa lakini acha kuponda wengine that's childish, sababu hata nikiwambia uprove chochote ulichoandika hutoweza.
Well mkuu seriously unadhani kila mtu amezaliwa shamba kijijini kwenye kijumba cha udongo?
Inaonekana wewe ni mwenyeji wa Moshi....Majani ya ng'ombe sio miwa
Kumbe unajua Tanzania ni nchi masikini.Basing on the weighted average iko hivyo kwa vijiji vingi.
Tz ni nchi maskini bado,
Sababu inayofanya mikoa mingine watu wasijenge nyumba vijijini ni Uchawi na Ushirikina.
Lakini kwenye vijiji vya mikoa mingine thubutuuuu
Ndiyo maana maendeleo maeneo yoyote yenye uchawi hakuna sababu akijitokeza mtu au watu kufanya jambo la maendeleo wanamuua au kumrudisha nyuma .!
Prove hivyo hapo juu na leta hizo takwimu ulizosema zipo.Ku prove kitu gani kwa mfano?
Kama ni takwimu rasmi zipo, unataka kusema nini?
Wewe unaweza kuwa na maana yako ya maendeleo inayokufanya upotoshe kati ya maendeleo na human basic needs.Eti maendeleo kwako ni nini Yani wewe hujui maendeleo ni nini?
Basi mijadala mingine ikupitege tu!
Halafu usichukukulie kama swala binafsi na kuchukia na hasira juu , relax!
Antibiotics ni chungu lakini mtu akikubali kunywa zinaponyesha na kuondoa maumivu yote.
Ina maana wewe kijijini kwenu hata mwenyekiti Hana nyumba kama hiyo, utakuwa umetokea wilaya ya Rufiji au HandeniWakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Hii sio tabia ya wachagga peke yao. Ni tabia ya makabila mengi ya Tanzania hasa kwa ukanda wetu wa kaskazini. Sisi huwa tunashangaa mtu anafanikiwa halafu hapendezeshi kwao. Watu wa kaskazii mwa Tanzania wengi huona aibu sana kama yeye amefanikiwa lkn kwao hapapendezi.Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Kumbe unajua Tanzania ni nchi masikini.
na kwa mujibu wa post zako ya nyuma unamaanisha sehemu nyingi za tanzania kumejaa uchawi na ushirikina.
hivyo unamaanisha tanzania ni masikini kwa sababu ya uchawi na ushirikina.
First of all leta credible evidences and proofs kuprove kwamba tanzania ni nchi masikini kwa sababu ya uchawi na ushirikina.....?
Na unitajie sehemu moja tu ya uchagani yenye maendeleo kuliko sehemu zozote nchini....?
Usikimbie mjadala kwa kuleta excuses.
Prove hivyo hapo juu na leta hizo takwimu ulizosema zipo.
Wewe unaweza kuwa na maana yako ya maendeleo inayokufanya upotoshe kati ya maendeleo na human basic needs.
pia sina muda wa kuchukia wala kukasirika kwa vitu ambavyo ni misinterpretations.

Huna macho?Mkuu naona migomba tu ..vip wachaga hao ulio wamwagia sifa kemkem wanakaa juu ya migomba Kama ngedere?
Kumbe unajua Tanzania ni nchi masikini.
na kwa mujibu wa post zako ya nyuma unamaanisha sehemu nyingi za tanzania kumejaa uchawi na ushirikina.
hivyo unamaanisha tanzania ni masikini kwa sababu ya uchawi na ushirikina.
First of all leta credible evidences and proofs kuprove kwamba tanzania ni nchi masikini kwa sababu ya uchawi na ushirikina.....?
Na unitajie sehemu moja tu ya uchagani yenye maendeleo kuliko sehemu zozote nchini....?
Usikimbie mjadala kwa kuleta excuses.
Prove hivyo hapo juu na leta hizo takwimu ulizosema zipo.
Wewe unaweza kuwa na maana yako ya maendeleo inayokufanya upotoshe kati ya maendeleo na human basic needs.
pia sina muda wa kuchukia wala kukasirika kwa vitu ambavyo ni misinterpretations.
Mahali pa kufikia si sababu pekee ya kufanya mtu aende kwao (kwa mtazamo wako). Na picha hiyo yaonyesha mpangilio wa ujenzi na miundo mbinu ni mbovu.Sijui ulivutiwa na nini!Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Yaani we unatakiwa uende tuition ya kupiga picha ,utake ustake,,haiwezekani lengo liwe kupiga picha nyumba lakini focus ipo kwenye migomba,,,sisi tunaona migomba ,,,hiyo ya nyumba imetokea kweny picha tu bahati mbayaWakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Kazaliwa na kukulia wapi,alikuwa anajisaidiaje,hajawahi nyeshewa mvua? Akiona mapungufu atarekebisha kwa wakati na rasilimali ikiruhusu.Ya nini kumpangia?Kwa hiyo kule kunako chimbuko la wazazi wako utakuwa huendi?
Je kama utaenda utaenda kufikia wapi? Kwenye nyumba gani?
Kwenye kibanda cha udongo cha mbavu za mbwa ?
Saingine kinavuja wakati wa mvua!
Je ukienda utaenda kujisaidia porini ?
Karibu sana kwetu bwasheeWakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Huna tofauti na jina lakoMkuu naona migomba tu ..vip wachaga hao ulio wamwagia sifa kemkem wanakaa juu ya migomba Kama ngedere?