Tabia hizi za Wachagga za kujenga nyumbani zinapaswa kuigwa na Makabila yote

Mbona hakuna nyumba ya maana hapo
 
Kazaliwa na kukulia wapi,alikuwa anajisaidiaje,hajawahi nyeshewa mvua? Akiona mapungufu atarekebisha kwa wakati na rasilimali ikiruhusu.Ya nini kumpangia?


Nimempangia wapi? [emoji2369][emoji2369]
 
Soma kati ya mistari ulivyoandika.Utaelewa upya ulichosema.
 
Anakuwa ameshajenga sehemu nyingine. Huko migombani anajenga nyumbani kwao alikozaliwa. Nyumba ya kupumzikia na kupunguza stress. Nyumba ya kukutana na ndugu. Kumabuka mkaataa kwao ni mtumwa.
 
Kuna baadhi ya maeneo wazee wenyewe wanawambia vijana wao wasijenge nyumba za viwango kwa kusingizia kuwa wanaweza kurogwa na wanakijiji wengine au ndugu wa ukoo
 
Makafala ya damu ya mbuzi na matambiko yametamalaki uchagani

Hakuna jamii isiyotoa kafara hapa duniani, devil is universal. Hata ukienda Congo utakuta makabila yanayotoa kafara. Kafara hazitolewi na wachaga pekee, hata makabila mengine wanatoa. Chasaka mkubwa wewe [emoji3]
 
Kuna mitazamo tofauti.
Kujenga kijijini inaweza kuwa misallocation of resources.
Unawekeza investment kubwa ambayo ungeweka mjini ungeweza kupata fedha nyingi. Mtu ameweka ghorofa kijijini, ni kujionyesha au ndio nyumbani.
Mbona na mijini wamewekeza sana
Kwani unaishi wapi mkuu?

Wachagga wengi wakistaafu / wakizeeka wanapenda kurudi vijijini hawataki tena kurupushani na kelele za mjini.
Wanawekeza mjini, wanakula taratibu kijijini wakiwa na company zao za utotoni.

Hata wazee wengi walioko uchagani hawapendi kuishi mjini
Hii ni kwasababu vijiji vya huko vina mahitaji yote muhimu kuanzia Hospitali, makazi bora, miundombinu safi, hali ya hewa nk
 

Pana fana na chato
 
Hivi wachaga mbona mna kaushamba flani hivi!..mnaabudu mali as if ukifa unaondoka navyo?

Utu kwanza bana
 
Mkuu utakua mwenyeji wa wampembe ziwa rukwa au,laela sio bure.tena mundali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa umenikumbusha vijiji vya uko kuna wampembe,kampumpuli,file kasanga nk
 
Hivi wachaga mbona mna kaushamba flani hivi!..mnaabudu mali as if ukifa unaondoka navyo?

Utu kwanza bana
Umeona ibada wapi hapo wewe mrembo?
 
Ina maana wewe kijijini kwenu hata mwenyekiti Hana nyumba kama hiyo, utakuwa umetokea wilaya ya Rufiji au Handeni
Nimetokea Kamachumu nyumba kAma hzo ni chache sana
 
Hahahaha kuna taarifa kuwa wachagga wamekumbwa na ukata kiasi ambacho ukiwa na sukari tu na majini ya chai unajipatia binti mbichi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…