Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

wapi wewe mi najua wanawake wa huko mnatutamani sana tu sema hayo maneno umetoa ili kuwapaka mafuta kwa mgongo wachupa manake kuna tuhuma kwamba idadi ya vibao vya kutangaza waganga wanaotoa tiba za nguvu za kiume ni nyingi kushinda wanaume waliopo dar.........
yani imezidi idadi ya wanaume wote wa dar es salaam ndo maana mnauziwa sex toys
 
Tuko busy kutafuta hela hatuna muda wa mapenzi
 
Wanaume wa Dar wanaporwa pesa kila siku waziwazi na vijambazi wanavijua ila hawavifanyi chochote.. Wanaume wa Dar mayai sana ebu jaribu huo ujinga huku bara uone utakavushushwa kuzimu fasta
 
Mwanaume anayekimbilia tigo ni mwanaume asiyeweza kupeleka moto sawasawa
 
oya ile notice ya Magufuli mmeisikia lakini??
mnashinda kucheza pool table na kuishi kwenye nyumba za kupanga, kuchat Instagram, na kushindia kipande cha muhindi wa kuchoma,
wanaume walio na maisha ya maana hapo Dar ni wale waliotoka mkoani na kuamua kubaki na itikadi za mkoani,

nyie walamba lipsi mtaishia kwenye kuunda team Zari na team Wema huko Instagram,

mafuriko yakija mnalala kwenye vituo vya mabasi...nendeni huko mwabepande mkalime maboya nyie
 
Wanaume wa mikoani hamjielewi mnaish kwa kutegemea mvua inyeshe hahahahahaha
 
Wanaume wa mikoani hamjielewi mnaish kwa kutegemea mvua inyeshe hahahahahaha
hiyo ilikua zamani, sasa hivi maji tumejua namna ya kuya control na kuhifadhi, nyie mvua ikinyesha mnageuka vyura, maana kujenga nyumba za maana huko mwabepande mlikopewa viwanja hamtaki kisa hamna hela, mnang'ang'ania kuishi karibia na mji ili mcheze pool table na kuuza mitumba
 
Waganga wa jadi wa Dar, wategemea kuuza dawa za mapenzi kuliko kitu kingine chochote!
 
Un
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…