Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Aaah wapi!! Kimoja chalii ndo utaweza kuendesha hii gari ya mealtime! Thubutuuu!! Automatic hao
 
Vizur kwa kulijua hlo dadaa
 
Ni hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.

Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.

Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.

Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…