Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Wasukuma ulizeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wangu huyu nikiwa nimeshatoa lock si naweza kubeba kabisa? ??[emoji12] [emoji13] [emoji14]Dar hiyo ndugu yangu.
Njoo uone!!Hahaha nyie si ndio mnaongea kiswanglish muonekane wasomi.....mna shida nyie. Dar sehemu gani ambayo tutakabwa.? Watoto mchele mchele nyie
Alafu za moto zimechomwa na jua la ikwetaDuh halafu soda yenyewe unaweza kukuta in fanta au mirinda
itakua kabeba na nguo umo ndanihivi ukiwa mwandishi wa habari ndo ubebelee begi kubwa namna hiyo...
Nae ni mwanaume anakimbilia soda?Mie kanifurahisha huyo mdada na nyonga yake!
Vizur kwa kulijua hlo dadaawanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town 🙂🙂
Weaving
Mkuu acha potosha..Ni 'weave', siyo 'weaving'.
Weaving ni kitenzi cha weave [ambayo ni jina/ nomino].
Mkuu acha potosha..