Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Shikeni adabu nyie! hao sio wanaume wa Mwanza Bali " WANAUME WA CCM MWANZA"
Kwanza hakuna aliyejua kuwa Magu anatua Mwanza zaidi ya Diallo na watu wake ndio maana kijani na njano zilitapakaa uwanjani. Hiyo dezo kwa ccm mbona jambo la kawaida? Usikute baada ya kutoka hapo kuna mahali wanaume hao wa ccm waliandaliwa wali maharage.
Wanaume wa Mwanza huwa hawaweki kwenye hesabu wanaume wa ccm kwani ni maboya kama yanavyoonekana hapo
 
Hahaha soda watu wanakunywa kila siku sio kwamba hao wanashindwa kununua soda,hizi mbio za kukimbilia crate la soda ni kwasababu mhe: presda katoa offa kuna hali ya kipekee fulani hivi mtu anaijengea kichwani kama wale wanogombania kumpa mkono wa salamu mheshimiwa,
 
Hii ni ofa iliyotolewa na Mh. Raisi magufuli baada ya kutua Airport Mwanza
348e32f92a9562c34069816716912082.jpg
[emoji1] [emoji1]
Hawa nao vipi? Mbona wameanza kuwa na tabia za Wanaume wa Dar!
 
Maskini unatokwa povu kujitetea, kubalini na nyie mtafute point nyingine.
Hahaha soda watu wanakunywa kila siku sio kwamba hao wanashindwa kununua soda,hizi mbio za kukimbilia crate la soda ni kwasababu mhe: presda katoa offa kuna hali ya kipekee fulani hivi mtu anaijengea kichwani kama wale wanogombania kumpa mkono wa salamu mheshimiwa,
 
Bwege katika ubora wake, acha ujinga mkuu, pamoja mimi sio hilo kabila nimejaribu kufafanua kwanini walifanya vile
Sawa wewe sio msukuma Ila hapa JF ni Bara Vs Pwani. Kwa hiyo ngumi ya shingo hiyo mjomba. Sina hakika kama wanawake wa Bara wanajua kuwakanda waume zao.
 
Mtoa mada umechemka. Kumbuka kuwa Mwanza ni Jiji, na linaendelea kukua kwa haraka sana. Katika hali hiyo kun mkusanyiko wa makabila mengi tu, kama wakara, washashi, makonde, wazaramo na wengine wengi likiwemo kabila lako wewe uliloficha. Kwa maana hiyo yanayoonekana na kutokea Mwanza hayatendwi na wasukuma pekee. Hoja ingine ni kwamba, CCM ina wapenzi na wanachama walala hoi wengi, na ndio umati huo uliokwenda kumpokea Mh. Rais na kugombea soda za bure.
 
Shikeni adabu nyie! hao sio wanaume wa Mwanza Bali " WANAUME WA CCM MWANZA"
Kwanza hakuna aliyejua kuwa Magu anatua Mwanza zaidi ya Diallo na watu wake ndio maana kijani na njano zilitapakaa uwanjani. Hiyo dezo kwa ccm mbona jambo la kawaida? Usikute baada ya kutoka hapo kuna mahali wanaume hao wa ccm waliandaliwa wali maharage.
Wanaume wa Mwanza huwa hawaweki kwenye hesabu wanaume wa ccm kwani ni maboya kama yanavyoonekana hapo
Wanaume wa mwanz mnatutia aibu
 
Mtoa mada umechemka. Kumbuka kuwa Mwanza ni Jiji, na linaendelea kukua kwa haraka sana. Katika hali hiyo kun mkusanyiko wa makabila mengi tu, kama wakara, washashi, makonde, wazaramo na wengine wengi likiwemo kabila lako wewe uliloficha. Kwa maana hiyo yanayoonekana na kutokea Mwanza hayatendwi na wasukuma pekee. Hoja ingine ni kwamba, CCM ina wapenzi na wanachama walala hoi wengi, na ndio umati huo uliokwenda kumpokea Mh. Rais na kugombea soda za bure.
Ndugu huu ni utani tu usichukulie serious. Naelewa mwanza(na sehemu yoyote ile Tz) kuna watu wa makabila mbali mbali.
 
Back
Top Bottom