Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Nilibahatika kugusa makabila yote kanda ya kaskazini kiukweli niliona Ke wa kimasai tu ndiye aliyekuwa na vinasaba vya wife materials, wengine [emoji119]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna Waarusha na Wameru ndugu yaani hawana tofauti na Wachaga kwenye mali...na yamkini Wanawazidi wachaga kabisa
 
Upumbavu wote huez mlaumu mwanamke,wa kulaumiwa ni wewe mwanaume kwa kujisahau
 
J
 

Aisee huu uzi inabidi uwekewe lamination.

Notes zimeshiba
 
Sasa we mtu r na l tu zinakushinda ndio utakuwa na akili kweli? Alafu watu tunataka wanawake wa aina hiyo, sio mategemezi wanaosubiri kutunzwa kama mayai. Hao unaowasema ndio ndoto ya wanaume wengi kwa taarifa yako. Mwanamke anayekufanya bora kuliko jana. Tena wachaga wana hofu ya Mungu sana. Eti wakuue wangapi wameuliwa? Mnawaza msichokijua, mnafanganyana bila akili. Hakuna mwanaume mwenye akili asietaka kuwa na mwanamke wa kichaga. Jenerali Ulimwengu kauliwa? Erick Shigongo kauliwa? Sumaye? Wapo kibao yani. Ukiwa na mwanamke wa kichaga unakuwa na uhakika wa kuzaliwa watoto wazuri wenye akili, maadili na hofu ya Mungu. Sio wanawake wa kiswahili na washirikina. Embu tutolee upupu wako hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…