Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Mbinu nyingine ni mnapikiwa mivyakula ya ajabu ya viwandani na yenye mafuta mengi chumvi na sukari nyingi kwa miaka 3-5 hutoboi unaanza kuumwa umwa, ukianza dawa mara kisukari mara presha anakuchanganyia dawa nyingine ya macho nk unakufa taratiiibu na hii haijalishi ni kabila gani
 
Kwan hvyo vyakula na ye mwanamke si anakula?, kwa nn ye haugui?
 
Si ndio hapo afu unakuta mtu bado anatetea kwamba tunawasema vibaya, hii tabia haiwezi vumilika na mwanaume yeyote mwenye akili timamu.
 
Kweli yaani. Afu unakuta mwanaume anajisifu nimepata mke mpambanaji,🀣 hivi unajua uyo mwanamke anapambania nini. Hiv unajua kuwa anapambana na wewe akupiku afu unamsifu ulivo jinga🀣
 
sasa kilichonisaidia ni kusikia mazungumzo yake na mama yake akimuuliza demu anarepoti kama mpelelezi aliye kwenye special Covert mission 🀣🀣🀣🀣 umetisha
 
Siku hizi hapa JamiiForums ni kujadili ujinga ujinga tu. Ishu ya ubaguzi wa kikabila ni ya kujadiliwa kwenye forum kubwa kama hii?

Nashangaa JamiiForums wanaacha mada kama hizi zijadiliwe kichuki chuki na kufuta mada za maana
 
Duuh mwamba umesomea Cuba nn?

Hii ina ukweli sana lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…