Sio kuchunguza, n vile tuu kuchangamsha maongezi. N mara chache sana mfanyakazi mwenzako au mtu wako wa karibu umpe lift afu aanze kuuliza kuhusu gari lako, hapo lazima mtapiga story khs kazini ila kwa mtu ambaye hamna ukaribu sana ndo ataanza kuuliza khs gari kwa nia ya kuchangamsha maongezi tuu na sio kuchunguza.Waomba lift wanakera sana.wakishapanda wanaanza kuchunguza mara waseme hii gari nzuri mara ni CC ngapi gari Yako?
Tayari nimeshakosea, hapa nahitaji ushauri nifanyeje kuepuka hili?Gari yako na maamuzi ni yako.. umewazoesha ila tangu mwanzo ungekuwa na misimamo yako walaaa
hata nje huko wote hawana magariKaishi nchi zanje.Ni sawa na kumiliki simu tu.
fanya hivyo kama unaona wanapenda kitongaDaah! Hii imenichekesha lakini ukiachana na mafuta Kuna baadhi ya michongo wengine hatupendi ifahamike kazini ila mtu unatamani ukitoka kazini upitie huko.hawa watu wakiwemo kwenye gari inakuwa ni ngumu tena
Nashukuru NumbisaPole mkuu
AhsanteHongera kwa kununua gari
Wengine wakija unacho waambia mafuta.Mfano mimi sio mpenzi wa gari ila mtu akija kuleta shobo zake kutaka gari na mwambia nakodisha kwa sikuTayari nimeshakosea, hapa nahitaji ushauri nifanyeje kuepuka hili?
Mpaka Sasa nimepata jawabu Moja kwamba nisipaki gari kazini
Mkuu kwan anakuwa amekuomba akausindikize unapoenda ww au umsogeze anapoenda yeye? C unamwambia tuu kuwa utamshusha njian mana ww unaenda njia tofauti, Yn mm umenipa lift naanzaje kwenda huko unapokwenda ww.Daah! Hii imenichekesha lakini ukiachana na mafuta Kuna baadhi ya michongo wengine hatupendi ifahamike kazini ila mtu unatamani ukitoka kazini upitie huko.hawa watu wakiwemo kwenye gari inakuwa ni ngumu tena
Sijui ccm wanawachukuliaje ndio maana mna aminishwa gari ni anasa wakati ni kitu cha kawaida kwa maisha ya sasa.Ungekuwa unaishi nje ndani ya mwaka ushamiliki.hata nje huko wote hawana magari
Mkuu labda hujaelewa hawa watu wanajua kabisa mi ninakoishi, hivyo wanapanda wakijua naelekea Goba Sasa nikisema nielekee njia ya tofauti italeta maneno na majungu.na wao wameshageuza ni utaratibu Sasa kupanda gari yangu ila kiukweli mi Kuna muda Huwa nahitaji kwenda kwenye mishe zangu nyingine ila sipendi wao wajue,je nafanyeje na wameshapanda kwenye gari huku wanajua kabisa ni muda wa kwenda majumbaniAcha roho mbaya,aliyekypa wewe ndio aliyewanyima wao,kama unaenda njia tofautina wao we elejea unakoenda wenyewe watashuka tu njiani,acha ubinafusi
Ulinunua shingapi?Waomba lift wanakera sana.wakishapanda wanaanza kuchunguza mara waseme hii gari nzuri mara ni CC ngapi gari Yako?
Hii tabia walikuwa nayo walimu wangu wa O-level kuna mwalimu mwenzao mwenye gari akitoka tu wanaenda kujazana kwenye gari lake awape lifti wasivyo na haya wanakaa hadi kwenye buti, ishu ni kwamba watanzania wengi tunapenda vitonga.Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Solution ni kununua gari yako ukushindwa, Kuna Uber,bolt na daladalawenye IST mna roho mbaya sana
Akikaa ofisini utasikia "kununua gari foleni za Dar ni kuchezea hela bora nijenge"Siongelei ushirikina, naongelea kuwa self sufficient, kujitegemea. Si una bajeti ya kazini-nyumbani, jaribu kutumia bajeti yako kuliko kusimangwa.
Ni Kila siku mkuu.Ndiyo iwe kila siku unavizia kwenye parking? Kama ni mara moja moja its okay but ikiwa daily ni kero.
Yaani mtu unashindwa kuwa huru kabisa hilo ndio Tatizo kubwa kwanguWakazie,Bora kuchuniwa kuliko kufadhaisha moyo pasipo sababu
Napunguza jaka la rohoKwa hiyo ukaamua uje uteseme jf.