Mfano wako wa huo wajibu?Pole sana mkuu, halafu sio kila pesa inaombwa wengine hutuma kama wajibu
Mkuu , point yangu sio kwamba sitampa mrejesho ila sipendi kuulizwa sababu ,Nahisi mtu anasababisha nijihisi sina shukran kitu ambacho hakipo hivyoIts very comforting kwa mtumaji kusikia neno asante.
Anaye acknowledge, ana chance kubwa ya kutumiwa tena na tena.Shida hawaelewi kwamba ukishatuma basi kazi yako imeisha. Kuuliza ni kama kufosi vitu .
Mimi kwangu sijipi presha hiyo ya kuuliza
Nimeshakujibu mkuuMfano wako wa huo wajibu?
Nina wajibu kumtumia pesa mama yangu. She is always thankful. Saying thank you and ushering blessings !
Hapo sawa. Siwezi kuuliza hapo hapo. Inaweza kuchukua hata siku kadhaa.Mkuu , point yangu sio kwamba sitampa mrejesho ila sipendi kuulizwa sababu ,Nahisi mtu anasababisha nijihisi sina shukran kitu ambacho hakipo hivyo
Vizuri kusubiri mimi nikupigie
Not necessary siku, dakika 15 zinaweza kutoshaHapo sawa. Siwezi kuuliza hapo hapo. Inaweza kuchukua hata siku kadhaa.
Kuanza kuuliza ni kujiongezea kazi..Shida hawaelewi kwamba ukishatuma basi kazi yako imeisha. Kuuliza ni kama kufosi vitu .
Mimi kwangu sijipi presha hiyo ya kuuliza
I usually take my time.Not necessary siku, dakika 15 zinaweza kutosha
Si ndio hapo, na ndio maana watanzania wengi hatuna furahaKuanza kuuliza ni kujiongezea kazi..
Kwani aliyetumiwa hana macho?[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa jf mna gubuuuuu!!! Chaaah!
Umesema kweli.Hapana sio umwinyi bali ni busara na hekima na ustaarabu hata anayekupa anapata moyo
Sent using Jamii Forums mobile app