Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

Its very comforting kwa mtumaji kusikia neno asante.
Mkuu , point yangu sio kwamba sitampa mrejesho ila sipendi kuulizwa sababu ,Nahisi mtu anasababisha nijihisi sina shukran kitu ambacho hakipo hivyo
Vizuri kusubiri mimi nikupigie
 
Mkuu , point yangu sio kwamba sitampa mrejesho ila sipendi kuulizwa sababu ,Nahisi mtu anasababisha nijihisi sina shukran kitu ambacho hakipo hivyo
Vizuri kusubiri mimi nikupigie
Hapo sawa. Siwezi kuuliza hapo hapo. Inaweza kuchukua hata siku kadhaa.
 
Ukiona hivo ujuwe umedharaulika sana na anakutafuta kwaaababu ya hela tu sio vyengine..

Na ikitokea unakosa hela basi ndio hakuna connection tena hapo..


Kama unamtumia mkeo, wazee wako, wanao au ndugu zako hapo sawa.. Ila kama unawatumia Mahawara na hawa vidanga vya mjini basi shauri yako (Ukija kufilisika ndio utaona rangi yao ya kweli)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo tabia kwa kweli inakera! Mtumaji unaanza kumtafuta mtumiwa ili kama haikumfikia uwahi kuirudisha!
 
Hizo tabia asilimia kubwa wanazo dada zetu na inakera mnoo
Unakuta anakuomba vocha ukimrushia hana habari tena na wewe ukimpigia umulize kama imefika no iko busy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ni kwamba unakuta tumeomba kwa watu zaidi ya mmoja na MPESA inasoma jina la wakala au siyo lako, inabidi usubiri nani huyu katuma.

Ile sms umepata, ndy unasema asante love nimepata. La sivyo unaweza kutoa asante kwa mtu mwingine. Mpango ukaharibika

Chilling.......................
 
Back
Top Bottom