Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Utakuja kumpenda mtu siku moja alaf SHOW TEMPO.. yaani kidogo tu mshaachana/ashakuacha alafu unampenda sana .
 
Utakuja kumpenda mtu siku moja alaf SHOW TEMPO.. yaani kidogo tu mshaachana/ashakuacha alafu unampenda sana .
tukiachana that means haikupangwa kuwa..!
 
Siku ukikutana na mtu kashavurugwa ndio utatia akili. Unabip tu yeye anapiga moja moja na kukuwekea tinted.
 
Siku ukikutana na mtu kashavurugwa ndio utatia akili. Unabip tu yeye anapiga moja moja na kukuwekea tinted.
Basi hiyo itakuwa nje ya uwezo wangu mdogo wangu.!
 
Mimi huyu nitoe machozi eti sababu kuna mtu kanichokoza...!!

Labda uhofie kwamba utanivutia vile wewe ni mchuchu...
Hujakutana na wachokozi bado mdogo wangu.!
Jishikilie tupo kwenye mteremko mkali..!!
 
tukiachana that means haikupangwa kuwa..!
Could be but Asses Tabia zako,je zilichangia.
Sometimes ni ww na tabia zako but you are too blind to see that.
In the end utaishia kufukuza hata potential husband material in the name of "haikupangwa"
Punguza excuse , take a look at yourself kwanza before hujaingia next relation.
 
Sasa mimi mtu mchokozi hua simjibu meseji ndefu najibu tu short (sawa,ok, fine) na akiendelea atajikuta ni ex wangu
Hujashikwa ukashikika mzee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…