Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Huu ndio ukweli mchungu...hata wanawake we need peace kwakweliMwanaume anakaa mahali anapopata PEACE OF MIND yani hata uwe na shape nzuri vipi na unajua kupika vipi pia Chumbani unaikatikia kama feni lakini dada mwanaume Humpi amani yani wew ni kumvuruga tu bhasi jua ipo SIKU ATAKUACHA bila taarifa.