Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu unakuja wenyewe shosti si hata kupanga kwangu..! Ila anyway, I'll learn mpenzi...!Hilo ni tatizo.. wewe unaona utani mwenzio anachukulia serious. Hapo ndio wanaendaga kutafuta sehemu yenye Amani anapumzika zake... Binafsi sipendi mahusiano yenye malumbano nachefukwa haraka Sana.... Napenda mpenzi tupige story tuchekeee,tudisiscuss idea,tusengenye wananzengo Kiasi japo wanajitiaga hawataki umbea kumbe wanautaka Sana.... Achana na huo mchezo shosti
Ahsante sana kwa ushauri Bwana Detective..!!Could be but Asses Tabia zako,je zilichangia.
Sometimes ni ww na tabia zako but you are too blind to see that.
In the end utaishia kufukuza hata potential husband material in the name of "haikupangwa"
Punguza excuse , take a look at yourself kwanza before hujaingia next relation.
muwe mnamaliza hamu za wenzi wenu,,,uzuri mimi wa kwangu anamaliza so sina sababu ya kumkasirisha,,,mimi nikiona amekasirika na mimi naumiaHizo nazo ni zile hamu tu zikianza kupanda na kushuka basi na wewe unakua mgomvi ghafla
wanawake wa sasa wagomvi sana, sio wa kwenye ndoa tu hata michepuko, zamani michepuko ilikuwa tulizo la moyo ila kwa sasa maisha yamebadilikaNafuu kumbe siyo jambo geni..!!
ya kwake ni vise versa, huwa upande mmoja unachukia while mwingine unafurahiaOne of my exes alikuwa na tabia kama hizo, sometimes umelala anakuchokoza halafu anakimbia nje, au anakukera tu bila ya kuwa na sababu maalumu. Its kinda sexy, mwanamke anayependa utani na masihara anakera lakini anavutia kwa njia ya kipekee.
Umenikumbusha mbali sana. Hahah...
Deka udekezweNikilia nabembelezwa..!
Sema nini binadamu kila mtu ana hulka take,labda hili tukubaliane hivi..yaweza siku ukaja elewa haya..!
Mzee baba😂Sijui labda Wanaume tupo tofauti ila Mimi huwaga ni mwepesi sana wa Kumpotezea mtu yani Naweza kukupenda kufa lakini Ukileta drama za kifala na kunikosesha amani unaweza hisi sijawahi kukupenda kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanaume anakaa mahali anapopata PEACE OF MIND yani hata uwe na shape nzuri vipi na unajua kupika vipi pia Chumbani unaikatikia kama feni lakini dada mwanaume Humpi amani yani wew ni kumvuruga tu bhasi jua ipo SIKU ATAKUACHA bila taarifa.Hilo ni tatizo.. wewe unaona utani mwenzio anachukulia serious. Hapo ndio wanaendaga kutafuta sehemu yenye Amani anapumzika zake... Binafsi sipendi mahusiano yenye malumbano nachefukwa haraka Sana.... Napenda mpenzi tupige story tuchekeee,tudisiscuss idea,tusengenye wananzengo Kiasi japo wanajitiaga hawataki umbea kumbe wanautaka Sana.... Achana na huo mchezo shosti
Hata wanawake tupo Kama mlivyo wanaume, Sipendi kabisa Kero!!yaani nikiwa na mtu ananifokeafokea kila saa namshangaa Sana atachoona hapo Ni vumbiiii tuSijui labda Wanaume tupo tofauti ila Mimi huwaga ni mwepesi sana wa Kumpotezea mtu yani Naweza kukupenda kufa lakini Ukileta drama za kifala na kunikosesha amani unaweza hisi sijawahi kukupenda kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maisha mafupi sana kukaa unagombana na Mkubwa mwenzio kila siku bila sababu[emoji3][emoji3]Mzee baba[emoji23]